Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Tuna mikakati kabambe ya kufunga goli zaid ya 15 kwa kila mechi tano na kuchukua point zote 15Nyie tunawapa gemu tano tu..
Ya sita kuendelea mbele mnatakiwa mjiandae kisaikolojia.
Ndo imepita ivyoo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kweli mkuu..binafsi yule ndugu aliposhika mpira tu apige nikawa sijiamini..kwa bahati mbaya akakosa..ila i hope atajifunza kutokana na makosa yake..Tabia ya kumpa mtu apige tuta ili kuongeza magoli sio nzuri..
Pale mpigaji mzuri ni Mkhtaryan,Mata au Herrera
Hii tabia ya MUFC kuwabomoabomoa wenzao magoli manne manne imeanza kuniathiri maana tukishinda chini ya hizo naona kama tumepoteza..
Nyie tunawapa gemu tano tu..
Ya sita kuendelea mbele mnatakiwa mjiandae kisaikolojia.
Ndo imepita ivyoo..
Sent using Jamii Forums mobile app
manchester united ndio timu pekee duniani ambayo wachezaji wake wanawania kuanzia benchi kwenye mechi.
- lord fellaini akianzia benchi akiingia anabadilisha movement nzima ya timu
- martial akitokea benchi anafunga magoli
- rashford akitokea benchi anafunga magoli
- lingard akitokea benchi ana assist magoli nina wasiwasi mechi ijayo martial na rashford watagoma kuanza kikosi cha kwanza kwa sababu kila mmoja atamtegea mwenzake hivyo basi jose mourinho anapaswa aende uwanjani na bakora kama mwalim wa madrassa.
![]()
Mwezi wa 9 tuna mechi 7 ndani ya siku 21. Hapa kila mtu atacheza sasa.
Mechi ijayo nna uhakika Rashford ataanza.
Stoke City huwa wanaharibu sana furaha za timu kubwa.
Ni ngumu kuifunga Stoke City kuliko Arsenal au Liverpool.
Kweli rashford anayaweza sna mibeki miili jumba uwanja mgumu ule ila kwa the reds tulivyo tutawaumiza nina uhakika
Martial alipafom sana morinyo asngemtoaUchambuzi mzuri, unajua wengi walikuwa wanalalamika kuanzia Rashford badala ya Martial. Sasa kila mmoja atabaki kimya suala la nani aanze litaachwa kwa Fundi Mou