Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu kuna rashford na martial hawa wanatosha sna pia tuna madogo kwenye academy kama angel gomes anahitaj kupanda bado perreira kifupi wapo wengi kaliba yake.
Bado tunamuhitaji sana perisic, hata kama sio perisic basi tupate natural winger, mechi ya jana imedhibitisha kwa maboko waliyokua wanatoa Valencia na blind.

Rashford na martial sio natural winger, hawana uwezo wa kupiga cross, perisic bado tunamuhitaji sana
 
Mkuu hilo la perisic halina ubishi
nakubaliana na ww na mourinho atakuwa mjanja akimpata huyo ila sio kwa dembele hapo ndipo nnapoona sio mana tuna madago
 
Haters gonna say zidane's better
aa8e5ab32576174ce7d7eb13c2d7c980.jpg

Slippy Gerald, you served football.
 
Nimeangalia hailaiti za OUSMANE BEMBELE, dogo anaonekana ni fundi sana, sijui kwa nini barcelona walikua wanang'ang'ania kwa coutinho, anastahili kununuliwa kwa ile hela kutokana na soko lilivo sasa, mou hakumuona yule dogo mpaka na yeye kung'ang'ana kwa perisic?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea point ya msingi sana mkuu,, huyo perisic kwanza umri unaelekea jioni, binafsi sioni kama kuna haja ya kusajili kwa sasa!!
 
Bado tunamuhitaji sana perisic, hata kama sio perisic basi tupate natural winger, mechi ya jana imedhibitisha kwa maboko waliyokua wanatoa Valencia na blind.

Rashford na martial sio natural winger, hawana uwezo wa kupiga cross, perisic bado tunamuhitaji sana
natural wingers wapi bhana,kwanza timu nyingi sasa hivi haziwatumii ..fullbacks ndo wanafanya hizo kazi kwenye mpira wa saivi..shaw akirudi najua atafanya mambo mengi sana... blind na valencia ni kweli wanapata chansi za kupiga krosi ila wanapiga mbaya...na sio kila timu utaifunga kwa kuwa na mawinga ambao ni natural...as long as timu inatengeneza nafasi nyingi basi amna tatizo kabisa..

pia napenda kuwapa pole mashabiki wenzangu kuhusu tukio la jana la kutokufunga magoli mengi,napenda kusisitiza kuwa halitajirudia tena hivi punde...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom