Ferrenga
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 942
- 1,659
Ha haaaaa mie bongo nilishaacha kushabikia tiku yyte...mpira mbele huku tunaweza kushika mbupu tukiwa tunaamka asbh tu
Karibu mpendwa sasa ujumuike na baba mwenye nyumbaSasa nyie MWANITESA YUNAITEDI leo ndo mnaanza Ligi sasa, Ushindi wa leo utatoa mwanga kidogo na wala sio mabonanza mlocheza wiki mbili zilizopiTa
Sent using Jamii Forums mobile app
Saivi mou anapaki basi katikati ya uwanja tuA happy ending was inevitable after Mourinho's subs did the damage late on. Goals from Marcus Rashford and Marouane Fellaini ensure we remain top of the table That's the first time since 2005/2006 season that we have kept three cleansheets in the first three games of the season. Henrikh Mkhitaryan magic continues as he becomes the first player since 1994/1995 to assist 5 times in the opening 3 games of the season.
Naona mourinho anazidi kuviweka virekodi tu GGMU.
Ivi Herrera yupo kweli
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Hahha itakuwa hatar zaidi siku victor lindelof akirud huo ukuta wake jamaa anakaba sna kama uliangalia game ya madrid kipind cha pili
Ukiweza kuelewa kidogo tu mbinu na mikakati ya mau this season utatamani kila siku man utd icheze....Hahha itakuwa hatar zaidi siku victor lindelof akirud huo ukuta wake jamaa anakaba sna kama uliangalia game ya madrid kipind cha pili
Hii tabia ya MUFC kuwabomoabomoa wenzao magoli manne manne imeanza kuniathiri maana tukishinda chini ya hizo naona kama tumepoteza..Afadhali Man U leo wameniokoa maana wife kaanza katabia...anataka nae nimchape magoli idadi sawa na vijana waliyofunga...Leo ratiba inaonesha viwili tu ha ha ha ha...kuwa Man U rahaaa jamani.




glory glory man utd.

ndo maana alizidi kupotea uwanjani...ila hii ilikuwa ni fursa kwa players wengine kushine cuz km akili ya Leicester ilikuwa kwa MAIN STRIKER wetu,lkn haikuzaa "MATUNDA YA KUTOSHA"..narudia "matunda YA KUTOSHA"