Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

cba71cfd5cd98aee97d857a3548f8046.jpg
 
Tumeanza kupunguza idadi ya magoli.

Kutoka kushinda 4 mpk 2

Kitambo kidogo tutaanza

kupunguza na point...

Sent using Jamii Forums mobile app



Hata barcelona ile ya guadiola na ukali wake haijawah kushinda gem zote goli nne kuna muda unakula mbili au moja au sare ya bila magoli

Pia naona story imebadilika kutoka ushindi wa timu za kawaida hadi mmeanza magoli yamepungua tulia tu utajionea mengi.
 
Naona tumevutwa shati kwenye magoli leo

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA


Mkuu kuna muda unatakiwa nyumbani ushinde hata goli moja ila usitoe sale uwanja wa nyumbani hutakiw kukosa point 3 ugenini hata ukisaka point moja toka mwaka jana niliona kocha wetu alivyojitahud kurudisha heshima ya old traford sio mahali salama tena utaumia tu msimu ulioisha tulipoteza mech moja tu ya city.
 
Back
Top Bottom