Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Target ya Mou On season ni kuchukua makombe yote F. A,EPL na UEUFA kuvunja rekodi ya Sir Alex ya 99, lakini kubwa zaidi kushinda EPL kwa point zaidi ya 95 ili kuvunja rekodi yake aliyoiweka Chelsea katika msimu wa 2003/4 kwa kufungwa Match 1 moja tu.

So now hataki kuona tukitoa draw kizembe au kufungwa na timu ndogo.

Sioni tukisajili mchezaji mwingine zaidi ya Ibramohovic tutalazimika kusajili January Winger na mapungufu yatakayojitokeza but for now kocha yupo happy na Squad aliyonayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
IBRA anarudi kuharibu pace ya timu tu! Na tusipoangalia atatuletea shida dressing room manake sidhani kama atakubali kukaa benchi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IBRA anarudi kuharibu pace ya timu tu! Na tusipoangalia atatuletea shida dressing room manake sidhani kama atakubali kukaa benchi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ibra ni professional footballer,nadhani kama atasaini maana yake amekubaliana no role atakayopewa na mwalimu, na pia kwa umri wake hawez cheza dk 90 kila mechi, Kitu kingine atakacho offer ni kuwa kama mentor wa kina lukaku,rashford, na martial. Pia atampunguzia pressure lukaku ambacho ni kitu kizuri.
 
Kumbe kuna sehemu ulinipinga? Point ipi uliyoipinga?

Kwahiyo kwa mujibu wa akili yako mbovu uefa ndio kipimo pekee cha timu kuwa kubwa? LoooooooooooooooooL

Yes am cunt, next question?
Nilikupinga kwa kutaka kulinganisha Chelsea na Arsenal. Wewe umeleta sababu za makombe nikakupinga kwa sababu hiyo. Mkuu record zipo tuu na zipo ili pia zivunjwe sasa kama umekariri ukubwa watimu ndio upo hapo, namimi nakwambia kaa hapo hapo.

Sisi tunaangalia nini unafanya sasa hivi? Boost uwezo wako wa kufikiri akili isiwe DORMANT.
 
Antoine Griezmann hints that he made a mistake rejecting the chance to join Man United this summer
08/20/2017 | 2:24 PM
Is Antoine Griezmann beginning to regret his decision not to join Manchester United this summer? The Frenchman was Jose Mourinho’s top transfer target at the beginning of the window with the …...View attachment 571368


Dogo Namuonea Huruma Sana Kasema Kama Atletico watamuuza oblack atalazimisha kuondoka sema kipengele cha kumuondoa kipo vilevile japo aliongeza mkataba mrefu
 
ok acha niunge nitawatumia link.
kuwa na group huko haina maana kuwa hapa Pata kufa lahasha. lengo ni kuwa update on time sio wote wapo sharp kuingia jf hata mb zinazotumika hapa ni tofauti na whatsapp .... humu tutaendelea kuwepo na kupa heshimu kama jukwaa mama. Nina group zaidi nane huko zote chimbuko ni humu humu jf (siasa intelligence magari bold n.k)

Sent using Jamii Forums mobile app
Meku kumbe na wewe mdau wa humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo Namuonea Huruma Sana Kasema Kama Atletico watamuuza oblack atalazimisha kuondoka sema kipengele cha kumuondoa kipo vilevile japo aliongeza mkataba mrefu
Dogo anaendeshwa na matukio tu kwakua kaona man utd inaanza kuwa tishio ndio anasema hivyo.Alijidai mfia timu acha apambane na timu yake tu.
Mimi bado ni shabiki wake no 1.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_2017-08-21-18-11-26.png
 
Back
Top Bottom