Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

nasubiria hilo group la whatsapp ila sharti member wa humu tuwepo wote ili family yetu isipotee. 0716561026

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha nikuuzie wazo

Anzisha wewe kisha tupatie mualiko kwa wale watakaokuwa tayari watakupa no zao PM vinginevyo ndugu yangu itakua ni uongo TZ kila MTU anasubiri mwingine aanze

Lada kama kunakundi tayari tuambiane
 
Hapana napingana na mashabiki wenzangu wa Man U, jana Pogba alikuwa katika kiwango kibovu zaidi tulivyotegemea angalia maoni ya wachambuzi wengi kuhusu Pogba katika Match ya jana.

Hakuwa katika kiwango chake, wengi tulishangazwa kutolewa kwa Herera na kuachwa Pogba uwanjani.

Pogba ni mchezaji mzuri akijitambua na akiacha Kuridhika na kujiskia, anakosa Moyo wa Cr7 katika kupambana.

Bado sio wa kumtegemea katika Match kubwa au kubadilisha matokeo tunapohjtaji kufanya hivyo.

Match ya Madrid alicheza hovyo mno, hadi sasa ni Match na Chelsea old T ndio alionesha angalau nusu ya uwezo wake.

Anatakiwa kubadikika kama anataka kweli kuwa Mchezaji bora wa Dunia na mfalme wa old T.

Vinginevyo Mou anatakiwa kuanza kumuweka banch ili kumpa changamoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani Pogba kawa kama Baloteli.
 
Acha nikuuzie wazo

Anzisha wewe kisha tupatie mualiko kwa wale watakaokuwa tayari watakupa no zao PM vinginevyo ndugu yangu itakua ni uongo TZ kila MTU anasubiri mwingine aanze

Lada kama kunakundi tayari tuambiane
ok acha niunge nitawatumia link.
kuwa na group huko haina maana kuwa hapa Pata kufa lahasha. lengo ni kuwa update on time sio wote wapo sharp kuingia jf hata mb zinazotumika hapa ni tofauti na whatsapp .... humu tutaendelea kuwepo na kupa heshimu kama jukwaa mama. Nina group zaidi nane huko zote chimbuko ni humu humu jf (siasa intelligence magari bold n.k)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naangalia Barca wanavyo hangaika kumpata Dembele (mtu mweusi)

Namuona kijana Mbappe anavyogombaniwa na vilabu vikubwa naye pia ni mweusi

Namuona Mane ambaye ni mweusi anayetokea kwetu afrika kabisa anavyoisaidia timu ya liverpool

Nawaona Arsenal wamempata Lacazzete ambaye pia ni Mweusi

Chelsea wakimuongeza Bakayoko vile vile naye ni mweusi

Hawa ni baadhi tu lakini cha kushangaza bado kuna mtu anadharau watu weusi tena katika mchezo wa soka au tatizo ni kwamba weusi hao aliwazungumzia yeye wanacheza man united. Ni makosa makubwa sana kuingiza rangi ya ngozi kwenye soka tena kauli hiyo ikitokea kwa mtu ambaye labda anaishi afrika na pia ni mweusi
Stop that Racial Status Quo

Hivi Hayo maswali wangejiuliza wazungu ingekuwaje... Moja ya Njia Walizofanikiwa wazungu kwenye issue ya ubaguzi wa rangi ni wao kuweza kutuaminisha kuwa tunabaguliwa kirangi

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
9bb0044e4497068b5e4c89e9cd69ea0f.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zidane ni mzungu?
Makelele?
Hendry?
Walibeba Ndoo Ufaransa?


Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann unajichosha kumjibu shabiki wa asinoo au Chelsea? Mashabiki wa asinoo akili zao zipo kwa Wenger wanaendeshwa kama maroboti bila remote control hayaendi.

Mashabiki wa chelsea ni sawa na kubwa jinga linaloishi kwa dada ake, kila kitu anaamua shemeji. (Abrohmovic) hapo hata umuambie dada ako usiku anaumia ili wewe ule hawezi kukuelewa.

Yes am cunt, next question?
 
Back
Top Bottom