Hawa wapimwe mkojo kabisa
wako Etihad![]()
Good night Ruta, asante kwa picha na taarifa za timu yetu.Good night folks
Hata kama angekua mzima zlalan hamna mchezaji tena pale, nawashangaa mnaoshangilia kutaka kupewa mkataba mpyaDuh unacompare mgonjwa na mtu mzima,zlatan 35+, rooney 31. Afu msimu uliopita zlatan kafunga 20+ goals in all competition.