Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Kwann unajichosha kumjibu shabiki wa asinoo au Chelsea? Mashabiki wa asinoo akili zao zipo kwa Wenger wanaendeshwa kama maroboti bila remote control hayaendi.
Mashabiki wa chelsea ni sawa na kubwa jinga linaloishi kwa dada ake, kila kitu anaamua shemeji. (Abrohmovic) hapo hata umuambie dada ako usiku anaumia ili wewe ule hawezi kukuelewa.
Yes am cunt, next question?
Huko kwenu viroba bado vinauzwa?Nilikupinga kwa kutaka kulinganisha Chelsea na Arsenal. Wewe umeleta sababu za makombe nikakupinga kwa sababu hiyo. Mkuu record zipo tuu na zipo ili pia zivunjwe sasa kama umekariri ukubwa watimu ndio upo hapo, namimi nakwambia kaa hapo hapo.
Sisi tunaangalia nini unafanya sasa hivi? Boost uwezo wako wa kufikiri akili isiwe DORMANT.![]()
![]()
200th EPL goal for Wayne Rooney.....Legend!Rooneeyyyy Man city 0 Evertone 1
Duh unacompare mgonjwa na mtu mzima,zlatan 35+, rooney 31. Afu msimu uliopita zlatan kafunga 20+ goals in all competition.Muliokua mukisema rooney kaisha na nibora zlatan kuliko rooney naona mnaona aibu
Sent using Jamii Forums mobile app