Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,924
- 27,165
Usitufananishe sisi na Arsenal bhana. But anyeays hayo ni maoni yakoKwann unajichosha kumjibu shabiki wa asinoo au Chelsea? Mashabiki wa asinoo akili zao zipo kwa Wenger wanaendeshwa kama maroboti bila remote control hayaendi.
Mashabiki wa chelsea ni sawa na kubwa jinga linaloishi kwa dada ake, kila kitu anaamua shemeji. (Abrohmovic) hapo hata umuambie dada ako usiku anaumia ili wewe ule hawezi kukuelewa.
Yes am cunt, next question?