Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,917
- 27,122
Bwahahaaaa.. Unayejua una GPA ya ngap.?Kama Hujui Mpira Tulia Tu Kwa Vigezo Vyako Kwa Heri
Bwahahaaaa.. Unayejua una GPA ya ngap.?Kama Hujui Mpira Tulia Tu Kwa Vigezo Vyako Kwa Heri

"..Mpuuzi akiongea upuuzi mpuuze..'First weekend of the premier league and already fans of small teams like Huddersfield town and Manchester united think they're title contenders.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu una akili sana...Fellaini ni habari nyingine. Kiungo,Forward&Beki zote hizi anazicheza kwa wakati mmoja. Utamuona kule mbele anapambana kupiga mpira kicjwa afunge, muda huo huo utamuona anapiga kichwa kuokoa mpira golini kwake. Ni hazina kubwa kwa United hii.Sahau kuhusu fellaini kukosa namba mkuu...
Fellaini ni Ball destroyer kwa Taarifa yako.
Na mourihno anapenda sana viungo wanaokaba na kuharibu mipira ya wapinzani..
Sasa Matic, Herrera na Fellaini ni viungo wa staili hiyo...na mou hawezi kuwauza hata kidogo.
Sawa mpuuzi. Ngoja nikupuuze
If the team that has many premier league titles than all 49 teams combined is small team then football isn't for you, you'd start watching netball.First weekend of the premier league and already fans of small teams like Huddersfield town and Manchester united think they're title contenders.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nimeambiwaje, kama mpuuzi akiongea upuuzi mpuuze. Najaribu kupuuzaIf the team that has many premier league titles than all 49 teams combined is small team then football isn't for you, you'd start watching netball.
You commented just because you have an electronic device, not because you have knowledge on football.First weekend of the premier league and already fans of small teams like Huddersfield town and Manchester united think they're title contenders.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ongeza sauti. SikusikiiYou commented just because you have an electronic device, not because you have knowledge on football.
How do you consider a club as big in football?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo gunia la viazi. Ni gunia la mahindiOhoo mara Lukaku mzito, mara ni gunia la viazi.![]()
Kajifunze kuandika kisha urudi tukuhekimisheNyie mani yuuu ni vilaza team lenu bovuuuuu.![]()
Nyie mani yuuu ni vilaza team lenu bovuuuuu.![]()
Kajifunze kuandika kisha urudi tukuhekimishe
Mfyiuuuuuu.
Pambana na hali yako.
The only way to end up conversation with a kilaza is to tell himNi vilaza pekee ndo hawataelewa nilichokiandika