Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ukibonde Huja Pale Watarajio Yenu Yanapofeli Hapo Unajipoza Machungu Tu Umeweka Na Ka Uefa Kunywa Panadol Kupoza Maumivu Hutak Chomoeni Goli 4

Chelsea Kapigwa Sijaona Walipoandikwa Kibonde Amfunga Chelsea Au Man City Kamfunga Kibonde Haterz Bana.
Burnley siyo kibonde kwa sababu hakuna timu ya top 4 iliyo mpiga nje ndani msimu uliopita. Hakuna. Utamuitaje kibonde? Tofauti na West ham jamvi la wageni.
 
Screenshot_2017-08-13-20-44-08.png
Tuanzie hapa kwanza
 
Mechi ya leo imeonesha tulichokuwa tunakikosa msimu uliopita.

Tulikosa wachezaji wawili na ndio tumewapata.

Matic na Lukaku, mchezaji wa kuweza kuzuia mashambulizi ya wapinzani na mchezaji wa kusukumia mpira wavuni.

Msimu uliopita tulitengeneza nafasi nyingi sana ila wa kumalizia alikuwa mzee Ibra tu.

Nategemea kuona msimu wa mafanikio.

EPL na UCL ndio malengo ya msimu huu.
 
Kwa EPL nakubaliana nawe..Ila UCL bado u need at least 2 more years.Game ya Madrid ilikua kipimo kizuri zaidi ya west ham.
 
Kwanini Chelsea ikifungwa mnafurahi sana ..kuliko timu zingine zikifungwa? Why Chelsea?

Mnapenda kujilinganisha mnoo na Chelsea, matic tumewapa, kocha tumewapa, mata tuliwapa.. mnataka nin tena!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani wewe uko kama kuku aliyekata kichwa!!

Ivi unaweza kuifananisha Man U na chelsea?

Chelsea kwa man u ni kama kuku na kifaranga mkuu!! Acha utani kabisa!
 
Hivi wakuu hatuna mechi nyingine katikati ya wiki ya kesho?? Jmosi mbali sana naona Halafu mpira uliwahi kuisha sana leo sijui sababu ya matic au lukaku, anyway ngoja nilale naweza kuota mechi yote tena.

Chelsea halaaaaaaaaaaa baby

Sent From Heaven
Ha ha ha mechi zipo ila sio Man united

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom