Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

IMG_3229.jpg
matheMATIC
hii West Ham hata Singida United wanawafunga
 
Mou kasajili timu ya kuchukua EPL tu ndio kiu tuliyonayo huko kwingine hata fergie alichemka miaka yote

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA

Huko kwingine sina uhakika wapi unamaanisha, ila kama ni UEFA Fergie na Ancelotti ndio makocha pekee wanaoongoza kwa kuchukua makombe mengi combined ya UEFA. Wote wakiwa wamechukua makombe 8 kwa ujumla. Hivyo kimafanikio ni mmoja wa makocha waliofanikiwa zaidi UEFA.
 
Mechi ya jana haiwezi kuwa kipimo kizuri kuonyesha ubora wa Man United kwa msimu huu wa ligi. Ukweli ni kwamba West Ham ni timu dhaifu sana kwa sasa! Katika michezo mitano iliyopita haijapata ushindi zaidi ya sare tena ikicheza na timu dhaifu tu!
Tusubiri Man U ikicheza na timu zenye uwezo! View attachment 565503
Hizi timu dhaifu (ikiwamo West Ham) msimu uliopita ndio zilitokesesha ubingwa kwa kutoa sare 15 nyingi zikiwa Old Trafford
 
Kama Mourinho angekuwa hawataki angekuwa ameshawauza,Inter/ROMA walimtaka Martial kwa mkopo Mourinho akagoma juzi Spurs wameleta official bid Mourinho amegoma kumuuza now Martial anatakiwa acheze mpira na ku-mprove wrong Mourinho
Mou anachopenda kutoka kwa mchezaji yoyote Ni consistence hataki mchezaji Leo yupo vizur kesho yuko hivo angalau kazi ya magic matic kaanza game mbili lakin yuko visit na Ni mgeni mi ninachona mou bana chuki ila anahitaji wachazaje wake wajiamni na ukiangalia Herrera mechi ya Madrid alipotea martial akiendelea hivo bhasi atapata namba watu kwenye uhakika na namba zao Ni degea Valencia bailly Micky lukaku pogba na may be magic kwa sasa ila hawa wengine Wacha wapambne the more ukiwa unaperform vizur na ukaleta positive attitude kwa kiwanja bhas namba yako nawasilish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mechi ya jana haiwezi kuwa kipimo kizuri kuonyesha ubora wa Man United kwa msimu huu wa ligi. Ukweli ni kwamba West Ham ni timu dhaifu sana kwa sasa! Katika michezo mitano iliyopita haijapata ushindi zaidi ya sare tena ikicheza na timu dhaifu tu!
Tusubiri Man U ikicheza na timu zenye uwezo! View attachment 565503
8434e3bb770a1788f40f41c7daefd2df.gif

Back
Top Bottom