Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yaani nimecheka aiseeee...

Sijui ulikuwa umejificha wapi jamaa kakuchoropoa kama mtu anayechokonoa panya kwenye shimo la nyoka

Pole sana mkuu GGMU GGMU GGMU

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo ndiyo, nimelazima kutokea hadharani, huu siyo mwaka wa low profile. Ishara moja wapo ya furaha ni kucheka.
 
Kama Mourinho angekuwa hawataki angekuwa ameshawauza,Inter/ROMA walimtaka Martial kwa mkopo Mourinho akagoma juzi Spurs wameleta official bid Mourinho amegoma kumuuza now Martial anatakiwa acheze mpira na ku-mprove wrong Mourinho
OK let's wait and see

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Mechi ya jana haiwezi kuwa kipimo kizuri kuonyesha ubora wa Man United kwa msimu huu wa ligi. Ukweli ni kwamba West Ham ni timu dhaifu sana kwa sasa! Katika michezo mitano iliyopita haijapata ushindi zaidi ya sare tena ikicheza na timu dhaifu tu!
Tusubiri Man U ikicheza na timu zenye uwezo!
Screenshot_2017-08-14-09-38-09.png
 
Mechi ya jana haiwezi kuwa kipimo kizuri kuonyesha ubora wa Man United kwa msimu huu wa ligi. Ukweli ni kwamba West Ham ni timu dhaifu sana kwa sasa! Katika michezo mitano iliyopita haijapata ushindi zaidi ya sare tena ikicheza na timu dhaifu tu!
Tusubiri Man U ikicheza na timu zenye uwezo! View attachment 565503

Wewe endelea kutafuta kipimo, timu inatafuta points 3.
 
Mechi ya jana haiwezi kuwa kipimo kizuri kuonyesha ubora wa Man United kwa msimu huu wa ligi. Ukweli ni kwamba West Ham ni timu dhaifu sana kwa sasa! Katika michezo mitano iliyopita haijapata ushindi zaidi ya sare tena ikicheza na timu dhaifu tu!
Tusubiri Man U ikicheza na timu zenye uwezo! View attachment 565503
Cha msingi sisi tushashinda tena goli 4, points 3 muhimu na clean sheet.
Hayo mengineyo yanawahusu ninyi na westham yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnanishangaza mnaolalamika kuhusu Uwezo wa westham Wakati point tatu muhimu zipo mfukoni sasa sijui mlitaka kwa sababu tumecheza na westham tukishinda tupate point Moja?
Ukitaka kujua umuhimu wa point tatu kutoka kwa vibonde angalia position ya Chelsea kisha kung'uta vumbi ukapambane na hali yako
First half:Chelsea 0:3 Burnley.

Sent from OT using jamiiforum app looking at EPL standing.
 
Mechi ya jana haiwezi kuwa kipimo kizuri kuonyesha ubora wa Man United kwa msimu huu wa ligi. Ukweli ni kwamba West Ham ni timu dhaifu sana kwa sasa! Katika michezo mitano iliyopita haijapata ushindi zaidi ya sare tena ikicheza na timu dhaifu tu!
Tusubiri Man U ikicheza na timu zenye uwezo! View attachment 565503
Msimu uliopita west ham ilishika nafasi ya 11, watford 16 na burnley 17, hope hii itakusaidia yupi kibonde kati ya hao
 
Back
Top Bottom