Wewe ulianza Jana aiseeHongereni wakuu naona mmeanza ligi kwa kishindo
uwe unatoa hata ongera basi,Leo Nimecheka sana, naona mashabiki wa MWANITESA YUNAITEDI mmeshajitabilia kuchukua UEFA kabisa.....jaman msidanganyike na kamechi kamoja tena kakibonde West Ham
Sent using Jamii Forums mobile app
Ibrahimovic aliondoka na mpiramuda mrefu sijaona mchezaji wa timu yang akiondoka na mpira hivi mara ya mwisho ilikuwa lini?
Ila Mou sijui anamkazania nini Felaini, Angemuacha tu asepe maana hadi zile tetesi za kuondoka naona zimezima kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wampe no. 7 tuuRashford Hatar Sana Huyu Lile Shuti Lilogonga Nguzo Hatar Sana Ngoja Kaongezeke Mwili Na Umr Itakuwa Shida.
Wanamdiss wapuuzi waliomuuzaWatu oyeeeeeeeeeeeeeeeeee yatajua yenyewe yanayomdiss Matic sina neno la kuyaambia...


Kuna siku mourihno aliulizwa "vipi kuhusu kumuuza fellaini" ..Ila Mou sijui anamkazania nini Felaini, Angemuacha tu asepe maana hadi zile tetesi za kuondoka naona zimezima kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahau kuhusu fellaini kukosa namba mkuu...Ila Mou sijui anamkazania nini Felaini, Angemuacha tu asepe maana hadi zile tetesi za kuondoka naona zimezima kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo Nimecheka sana, naona mashabiki wa MWANITESA YUNAITEDI mmeshajitabilia kuchukua UEFA kabisa.....jaman msidanganyike na kamechi kamoja tena kakibonde West Ham
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana napingana na mashabiki wenzangu wa Man U, jana Pogba alikuwa katika kiwango kibovu zaidi tulivyotegemea angalia maoni ya wachambuzi wengi kuhusu Pogba katika Match ya jana.
Hakuwa katika kiwango chake, wengi tulishangazwa kutolewa kwa Herera na kuachwa Pogba uwanjani.
Pogba ni mchezaji mzuri akijitambua na akiacha Kuridhika na kujiskia, anakosa Moyo wa Cr7 katika kupambana.
Bado sio wa kumtegemea katika Match kubwa au kubadilisha matokeo tunapohjtaji kufanya hivyo.
Match ya Madrid alicheza hovyo mno, hadi sasa ni Match na Chelsea old T ndio alionesha angalau nusu ya uwezo wake.
Anatakiwa kubadikika kama anataka kweli kuwa Mchezaji bora wa Dunia na mfalme wa old T.
Vinginevyo Mou anatakiwa kuanza kumuweka banch ili kumpa changamoto.
Sent using Jamii Forums mobile app