msebia
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 475
- 360
tahira katika ubora wakoSiyo gunia la viazi. Ni gunia la mahindi
Sent using Jamii Forums mobile app
tahira katika ubora wakoSiyo gunia la viazi. Ni gunia la mahindi
ka ulivyoshindwa elewa ushauri uliopewaNi vilaza pekee ndo hawataelewa nilichokiandika
Hahahaha pole sana,Makinikia yalitaka kunipoteza mkuu
Ni kweli ila nipo ... now nipo kwenye mgomo mpaka yule jamaa mwenye meno ya njano afukuzwe muda huu natafuta pa kujishikiza epl LAKINI SIYO HUMU
Sawa gunia la mahindi. Mpuruzi wewe
Hivi wapi naweza pata jezi ya chama letu hapa dar...kama sio original basi iwe zile zenye ubora kiasi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakuja kununua Ile mail fax yenu mliyotumia kuchelewasha transfer ya de geaMajogoo yameanza kutafuta Njia Feki za kumdhibiti Coutinho
Sent From My Nokia Ya Tochi
Hahaha wale nao kama sisi labda new castleHahahaha pole sana,
Kajishukie spurs aisee, naona panakufaa sana, yule jamaa mpo naye sana aisee
Mkuu hapo anampa changamoto na hii itamfanya Lukaku kukomaa zaidiRooney: "Manchester United are a football club that demands success. Romelu Lukaku has to be strong enough to take up that challenge." [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]
VIP Rooney anamtisha lukaku au ndiyo changamoto zenyewe
Kumbuka matokeo yoyote kwa man u ni khabari kwao aidha iwafurahishe au iwa huzunishe so wasikupe shida hao.Hawa wenye chuki na MUFC(maana timu nyingine hazina washabiki) wana vituko sana, MUFC ikishinda utasikia ooh mnashangilia kushinda mechi moja.. Mbona tukifungwa hamsemi ni mechi moja tu?
Hahahaha vipi Kwa westham utdHahaha wale nao kama sisi labda new castle
Nataka nimtafute everlenk anielekeze kuandika barua kama Ile aliyomuandikia LVG
Kisa mmewafunga sitakiHahahaha vipi Kwa westham utd
Msubirie atakuja huku pande za huku
Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahaha Everton basiKisa mmewafunga sitaki![]()
Tunakuja kununua Ile mail fax yenu mliyotumia kuchelewasha transfer ya de gea
Uyu jamaa namwelewaga kinoma anafunga magoli ya kihuni huni ukicheza nae vibaya huna chako tatizo wanasema nidhamu yake mbayaSiku ya mwisho ya usajili Diego Costa atakuja Manchester united .
Source : Mimi
Hii comment itunzwe
Sent From My Nokia Ya Tochi
ila as long as unaweza kuendana nae he's one hell of a sticker nakumbuka alipopewa message na conte kuwa he's needed no more eddo aliandika kwanini Wenger na mourinho wanahangaika na striker wakati Diego yupo? Ni mzuri na rekodi yake ni imetulia sana akifunga goli 18, ukawa na rashford akafunga 10, then mengine anamalizia lukaku basi unamaliza msimu na chupa ya whisky pembeni! Well writtenUyu jamaa namwelewaga kinoma anafunga magoli ya kihuni huni ukicheza nae vibaya huna chako tatizo wanasema nidhamu yake mbaya![]()
![]()
![]()
![]()
ila as long as unaweza kuendana nae he's one hell of a sticker nakumbuka alipopewa message na conte kuwa he's needed no more eddo aliandika kwanini Wenger na mourinho wanahangaika na striker wakati Diego yupo? Ni mzuri na rekodi yake ni imetulia sana akifunga goli 18, ukawa na rashford akafunga 10, then mengine anamalizia lukaku basi unamaliza msimu na chupa ya whisky pembeni!
Sent using Jamii Forums mobile app