Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Mkuu hii sio bondia, ni football , a team game. Hata messi hafanikiwi kwenye national team.Ni kweli sikatai lakini unamtazama pogba kimapenzi pengine nikubaliane na wewe uko sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tuheshimiane.Kuna yule mropokaji maarufu jf anaitwa Ollachuga Oc , umemuona Matic??? Ni kweli mzito?
Yaani nimecheka aiseeee...
😀😀😀 Tunaimba kwa muhkari kabisa
Subiri ukutane nae ndo utajua kama yeye ndo anang'ang'ania au wewe ndo unang'ang'aniaHivi vitimu vyingine sijui vinang'ang'ania nini kuwa katika EPL?Hata hamu ya kuangalia mpira inakufa
Umeongea vizuri mkuu, na asante kwa kutupongezammecheza vizuri sana leo nitoe hongera kwa Chelsea kukosea kucheza karata yake na kuwauzia Matic lakini msijipime kupitia game ya leo kuna kitu kinaitwa consistency je mtaweza!?
Nimeongea hivyo simply because so far mpaka sasa kama yupo mwanasport wa kweli na si mnazi ataelewa
Pogba bado sana sikatai amefunga goli ndio lakini bado mnoo mpaka leo nimekua mgumu kumuelewa huyu jamaa anampila wa kitoto nasema kama angekua sio matic pogba msingeona alilofanya kazi ya matic ni kubwa kuliko huyu bank mwenyewe
All in all hongereni kwa matokeo mazuri looking foward to see your good perfomence game zijazo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakin hiz sifa za matic zikuzisikia mlivovunjiwa mayai mawil na madrid, leo mmecheza na average team kaonekana.
Sent from koromije using bashite
Hukutaka tu kuziskiaLakin hiz sifa za matic zikuzisikia mlivovunjiwa mayai mawil na madrid, leo mmecheza na average team kaonekana.
Sent from koromije using bashite
Atawanyoosha hadi washangae.Aisee wapinzani safari hii mje vizuri..huyo Lukaku ni ana njaa balaa...