DE FULE
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 1,213
- 714
Wewe unafata nn huku kwa Man U kama huji kujilinganishaKwanini Chelsea ikifungwa mnafurahi sana ..kuliko timu zingine zikifungwa? Why Chelsea?
Mnapenda kujilinganisha mnoo na Chelsea, matic tumewapa, kocha tumewapa, mata tuliwapa.. mnataka nin tena!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
