Majirani wakaanue tuu tanga lao la Jana hamna namnaCute b
Unaacha na kaneno kwa majirani😀
Mpe tu hamna namnaKuanzia leo Lukaku nampa jina la LUKA-GOALS
Ha ha haMpe tu hamna namna
muda mrefu sijaona mchezaji wa timu yang akiondoka na mpira hivi mara ya mwisho ilikuwa lini?
Utajibebisha hadi ashuke kiwangoJamani kaka zangu Mimi nipo single and available, naombeni mniozeshe kwa LUKAKUUUUUUU THE HERO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa huogopi uzito wake hahaha?Jamani kaka zangu Mimi nipo single and available, naombeni mniozeshe kwa LUKAKUUUUUUU THE HERO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ulikuwa unanikataa kwasababu ya huyu starJamani kaka zangu Mimi nipo single and available, naombeni mniozeshe kwa LUKAKUUUUUUU THE HERO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh