Lee Cho in
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 941
- 693
Hahahaha hata iweje hawawez kuna na mou ndo keshasema ni fire tu mbona humu kwetu watakuwa wanachungulia tu
Hahahaha hata iweje hawawez kuna na mou ndo keshasema ni fire tu mbona humu kwetu watakuwa wanachungulia tu
Kunywa maji, hiyo ndio MUFC kijana!Hivi vitimu vyingine sijui vinang'ang'ania nini kuwa katika EPL?Hata hamu ya kuangalia mpira inakufa
Hivi vitimu vyingine sijui vinang'ang'ania nini kuwa katika EPL?Hata hamu ya kuangalia mpira inakufa
Come on West Ham make the weekend great again. Piga hawa gamutuz
Jamaa anajua,uzuri wake hana hamu ya kufunga zaidi ya assistnasisitiza tena njia pekee ya kumzuia Henrikh Mkhitaryan asiwe mchezaji bora wa ligi kuu msimu huu ni wapinzani kuukata mguu wake
1 match = 2 assist
![]()
.Kajinyonge kama kawaida yenu!!!!
Na ashukru mashall hakuaza Leo angemtesa mnoHuyu Zabaleta umri umekimbia anatakiwa kukimbizwa vya kutosha
Mwili timu yako Roho man utd njoo tu hatuna hiyana sieCome on West Ham make the weekend great again. Piga hawa gamutuz
Ukitaka kuona mpirawa Pogba mpe freedom uwanjani. Akiwa juve aliwika kwasababu alikua na pirlo kama holding midfield alipokuja man u hapakua na holding mzuri hasa ukizingatia carick umri umetupa mkono!!Pogba bado sana sikatai amefunga goli ndio lakini bado mnoo mpaka leo nimekua mgumu kumuelewa huyu jamaa anampila wa kitoto nasema kama angekua sio matic pogba msingeona alilofanya kazi ya matic ni kubwa kuliko huyu bank mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
De save kazin
mmecheza vizuri sana leo nitoe hongera kwa Chelsea kukosea kucheza karata yake na kuwauzia Matic lakini msijipime kupitia game ya leo kuna kitu kinaitwa consistency je mtaweza!?
Nimeongea hivyo simply because so far mpaka sasa kama yupo mwanasport wa kweli na si mnazi ataelewa
Pogba bado sana sikatai amefunga goli ndio lakini bado mnoo mpaka leo nimekua mgumu kumuelewa huyu jamaa anampila wa kitoto nasema kama angekua sio matic pogba msingeona alilofanya kazi ya matic ni kubwa kuliko huyu bank mwenyewe
All in all hongereni kwa matokeo mazuri looking foward to see your good perfomence game zijazo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli sikatai lakini unamtazama pogba kimapenzi pengine nikubaliane na wewe uko sahihiUkitaka kuona mpirawa Pogba mpe freedom uwanjani. Akiwa juve aliwika kwasababu alikua na pirlo kama holding midfield alipokuja man u hapakua na holding mzuri hasa ukizingatia carick umri umetupa mkono!!
Leo umeweza kumuona Pogba kwasababu tuna matic, kitu kilichofanya pobga awe free!!
Tutarije mengi kutoka kwake msimu huu!!!
mmecheza vizuri sana leo nitoe hongera kwa Chelsea kukosea kucheza karata yake na kuwauzia Matic lakini msijipime kupitia game ya leo kuna kitu kinaitwa consistency je mtaweza!?
Nimeongea hivyo simply because so far mpaka sasa kama yupo mwanasport wa kweli na si mnazi ataelewa
Pogba bado sana sikatai amefunga goli ndio lakini bado mnoo mpaka leo nimekua mgumu kumuelewa huyu jamaa anampila wa kitoto nasema kama angekua sio matic pogba msingeona alilofanya kazi ya matic ni kubwa kuliko huyu bank mwenyewe
All in all hongereni kwa matokeo mazuri looking foward to see your good perfomence game zijazo.
Sent using Jamii Forums mobile app

Naona furaha imetawala