Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Matic n kiungo mzito ndiyo..... mfuatilie vizur mkuuu.. huwez compare mtu kama bakayoko na matic... yoko yupo faster sema nahis injuries sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Bakayoko umemuona mechi ngapi ?
Matic amekuwa kikosi cha kwanza Chelsea na ana medali 2 za EPL jana Conte analalamika kwa nini management ya Chelsea walikubali kumuuza
 
Hayo ni masihara zaidi. Hivi mbona Mourinho anabadili utamaduni wa Man U wa 'hakuna mchezaji Mkubwa kuliko klabu'? Zlatan alikuwa hivyo kule PSG, sasa naona hilo linataka kuja kwetu. Klabu ishatangaza kumuacha lakini inampa option ya kusaini tena au kuondoka manake nini, kwa kipi alichonacho yule mzee? Kiukweli naamini Ibra wa Jana c Ibra wa Leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumsajili mchezaji ndio kubadili utamaduni wa klabu ?
 
Wachezaji wetu sijui wamekuwaje, ukiangalia kikosi alichochukua nacho ubingwa Ferguson mara ya mwisho na hiki alichonacho Mou hiki cha mou kina wachezaji wanaoonekana wazuri zaidi..

Ona kitu kama hiki.. Sijui ni hawaonani au ni nini
FB_IMG_15023115248532963.jpg
 
Back
Top Bottom