Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Umeanza vizur ukamalizia na pumba.. matic n kiungo mzito sana.... kama hujui... yupo slow.. na anachoka haraka especially second half... team ikiwa inashambuliwa matic huwa anapotea.. kama ulimfuatilia vizur Chelsea ngolo kante aliteseka sana pind akicheza na matic.. I stand to be corrected...

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahsante sana kwa maoni yako na natumai yanatoka kwenye kiwiliwili kilicho hai.unasema ya kwamba kante alipata tabu sana alipocheza na matic lakini umesahau ya kwamba matic alianza mechi 30 za ligi kuu.
Ni kweli matic ni mzito ila naomba unitajie mchezaji mmoja mwenye urefu wa futi 6 kama matic halafu awe anatumia mguu wa kushoto na mwenye mbio kama giggs.
 
Mkuu umekubali matic n mzito..? Nataka tuanzie hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana kwa maoni yako na natumai yanatoka kwenye kiwiliwili kilicho hai.unasema ya kwamba kante alipata tabu sana alipocheza na matic lakini umesahau ya kwamba matic alianza mechi 30 za ligi kuu.
Ni kweli matic ni mzito ila naomba unitajie mchezaji mmoja mwenye urefu wa futi 6 kama matic halafu awe anatumia mguu wa kushoto na mwenye mbio kama giggs.
Una confirm kuwa Matic mzito !
 
Kaka unatoa vp judgment kwa game moja ya juzi tu....?

Sent using Jamii Forums mobile app
Matic amechezea Chelsea misimu 4 uchezaji wake unafahamika.Matic ndio mchezaji ambaye anafit kwenye mfumo wa Mourinho na kama uliangalia game against Real Madrid Matic ndio alikuwa the best Manchester United player on the pitch

1.Unaposema mzito unamaanisha nini ?

2.Huo uzito una impact gani kwenye uchezaji wake/perfomance ya timu ?

3.Ikiwezekana ututajie at least 5 best DM waliomzidi Matic ambao ni wepesi kwenye EPL
 
26664e53cb10482047c397756a838790.jpg

EPL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sky Sports: Coutinho hands Liverpool an official transfer request

Sky Sports in England has stated the Brazilian has informed the club of his intentions and wishes to leave Anfield, although these reports are questioned by other journalists.
James Pearce of the Liverpool Echo and Goal.com have responded that their sources at the Merseyside club insist they are unaware of such a request.

The news comes in the wake of a statement from Liverpool earlier on Friday that the club would not contemplate a sale for the 25-year-old this summer.

“We wish to offer clarity as regards our position on a possible transfer of Philippe Coutinho,” read the Liverpool statement.

“The club’s definitive stance is that no offers for Philippe will be considered and he will remain a member of Liverpool Football Club when the summer window closes.”
 
1502453027458.jpg

The French FA confirm the receipt of the International Transfer Certificate of Neymar

The French FA confirm the receipt of the International Transfer Certificate of Neymar sent by the Spanish Federation.

The 25-year-old made a world-record €222 million move from Barcelona to PSG last week but was unable to play because final details of his registration had not been completed.

So long as the document has been verified by the French FA (FFF) and League (LFP) by midnight on Saturday, which should prove a formality, Neymar will be able to feature in Brittany the following day.

He was in the spotlight on Friday as he participated in his first PSG training session open to the media since making his huge move, and it is anticipated that he will go straight into Unai Emery's starting XI at a ground where PSG have won only one of their previous five visits.
 
View attachment 563286

Mkuu vipi umepotea njia?
 
Back
Top Bottom