Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sawa ila jamaa hana consistency kabisa. Yaan kuwepo kwake kwenye games nyingi anaonekana hana madhara. Kwa EPL sawa maana timu nyingi kama uwezo ziko sawa. Ndomaana inafika wakati huwezi tabiri nani anashinda. Ila timu tuitoe nje kukutana na timu kama Madrid, Barca, Bayern, Juve, PSG huwezi muona Pogba. Ujue Pogba is very worth. Anatakiwa piga mpira wa thaman yake. Umri alionao ndoanatakiwa kuwa on fire sasa.
Umesahau ni yeye ndio alipiga MUWA Kigamboni Mpaka Chakinze Europa Final... Manchester Vs Ajax

Hahahaha Le PogDance

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Mimi ni shabiki kindakiNdaki wa team Hili ..

Mchezaji alietuangusha Jana ni Herrera alishindwa kabisa Kudhibiti nyendo za ISCO...

All in all we played very good in the second half of the game

GGMU

Sent From My Nokia Ya Tochi
mkuu tatzo co herrera ila mou formation ya kisenge alipaki bus jamaa walikuwa wanakuja mda wote !
 
d651c8f360375086b379c537b66ed1f3.jpg

Jamani ndugu zangu kwema humu ndani?
 
Kwema humu..salama salimini.

Vipi wataka kugawa soda...?
afc63834b4c441e88d9dedc3b6976345.jpg

Anhaaa basi Amani sana, poleni kwa mkasa wa Jana wajameni......next time muwe mnawauliza [HASHTAG]#thecatalans[/HASHTAG] jinsi ya kuwafunga [HASHTAG]#galacticos[/HASHTAG]....Ila all in all POGBA ni mtumishi hewa
6c0cb03f66d87214c6d17e323dfe605d.jpg
350f03e1a269a7d80e66b6a89663072d.jpg
 
Hehehe naona ndugu umekuja kwa Shari.

Saizi shabiki wa Barcelona mumekuwa kama mahayawani baada ya kuondoka kwa moneymar kama mnavyomuita.

Saizi mnarusha vijembe na upupu kila mahala.
 
Mimi ni shabiki kindakiNdaki wa team Hili ..

Mchezaji alietuangusha Jana ni Herrera alishindwa kabisa Kudhibiti nyendo za ISCO...

All in all we played very good in the second half of the game

GGMU

Sent From My Nokia Ya Tochi

Unaweza Ukawa Ndo Mwisho Wa Herrera Wengi Watabisha Majukumu Yake Kayachukua Matic Kumrudisha Tena Kwenye Hali Yake Kocha Aache Kupak Bas Jamaa Akawa Hana Mtu Wa Kumdandia Huyu Anacheza Vizur Akiwa Na Mata Pogba Apishane Na Herrera Tu Mata Sio Wa Kukaa Bench Huyu Kama Isco Tu
 
afc63834b4c441e88d9dedc3b6976345.jpg

Anhaaa basi Amani sana, poleni kwa mkasa wa Jana wajameni......next time muwe mnawauliza [HASHTAG]#thecatalans[/HASHTAG] jinsi ya kuwafunga [HASHTAG]#galacticos[/HASHTAG]....Ila all in all POGBA ni mtumishi hewa
6c0cb03f66d87214c6d17e323dfe605d.jpg
350f03e1a269a7d80e66b6a89663072d.jpg

Neymar Hajawah Kumuacha Mtu Salama Fuatilia Rekod Ya Madrid Ndan Ya Miaka Mitatu Tazama Na Ya Barcelona Walivoypagawa Barcelona Coutinho Zaid Ya Mechi 136 Goli 36 Neymar Idad Ya Hizo Mech Goli Zaid Ya 105 na zaid ya assist 56 halafu wanakwambia good replacement neymar hazibik kama ambavyo FIGO hakuwaacha salama now barcelona kuna wachezaj wawili tu Suarez Na Mess iniesta jua lishazama kitu kibla
 
Unaweza Ukawa Ndo Mwisho Wa Herrera Wengi Watabisha Majukumu Yake Kayachukua Matic Kumrudisha Tena Kwenye Hali Yake Kocha Aache Kupak Bas Jamaa Akawa Hana Mtu Wa Kumdandia Huyu Anacheza Vizur Akiwa Na Mata Pogba Apishane Na Herrera Tu Mata Sio Wa Kukaa Bench Huyu Kama Isco Tu
Sijui unaandika vinini au shule tatzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom