Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hongereni kwa kumcheka mamba ilhali hamjavuka mto bado...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha haniiii habari za masikuuuuu!!!! Acha methali zako bana weeeee ukipata furahi ukikosaaaa jutia!!! Unafikiri kesho mkishindwa sitakujja kucheza singeli?? Kila siku ni mpya na mambo yake.....kuna siku hata mamba wanaendaga kuota jua unavuka kiulainiiiiiii
 
Ahahaaaaah...
 
#To all Haters leo Leo tunavunja tanga kwahiyo tukimaliza mazishi msionekane tena humu tutakuwa na tanga ndugu tujadili mambo yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Naona jirani leo zamu yako kutoa maiti ndani,kama jirani nitarudi kesho nina uhakika mazishi bado tunasubiri ndugu waje ila nakushauri mpeni mkata Ibra uyu Lukaku ataharibu sherehe ya kipaimara chenu.
 
Wanasemaga washabiki wa man u wanamaneno sasa huo usemi umethihilika Leo maana kuna kundi kubwa la m23 limekuja humu lakini limepokea majibu MAGUMU kutoka kwa man u fans!

Kuna mmoja kamwambia mwenzake eti soon atakuwa DELICIOUS😀

GGMU

Good night to all man u supporters in this thread🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…