Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hakuna miujiza ya kututoa huku amini nawaambia
 
Attachments

  • Screenshot_20261122_214813_Chrome.jpg
    Screenshot_20261122_214813_Chrome.jpg
    20.7 KB · Views: 1
Hii timu ikienda championship hairudi ligi kuu
Potelea pote mamaeee jamaa hawajawahi kuonyesha kabisa hii ni timu kubwa kama zilivyo bayern madrid huko mabosi wanaona hatuna tofauti na leeds ndio maana kuwekeza msuli wa nguvu kama ivyo vilabu hapo juu hawataki
 
Mabosi wamekariri kwamba hawahitaji kuwa mabingwa ili kutengeneza hela nyingi huku wakichukulia poa kuhusu kushuka daraja. Sasa ngoja msimu huu iwapate kama ya Tottenham msimu uliopita au washuke kabisa tuone hizo hela watakazo tengeneza huko championship.
 
Back
Top Bottom