Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lukaku hapati mipira ya kutosha...

Pogba naona bado amesahu anacheza nyuma zaidi... angalau kidogo baada ya kupata maelekezo ya Mou dk 15 za mwisho kipindi cha pili kapanda kidogo na timu imeamka.

Madrid bado hawajapata kashikashi za kutosha wakipelekeshwa dk 3 mfululizo kuna gori mbili pale naziona kabisaaa... Nadhani Lingard anapaswa kumpisha Rushford. Mik wa leo kalala sana si mbaya Martial akapiga jaramba kwaajili yake.

Bado ninamatumaini makubwa na ushindi

GGMU GGMU GGMU

Sent using Jamii Forums mobile app
Matumaini ni kitu kizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Credit nampa aliepiga shoot team butu sana haishambulii hata kidogo inatia hasira sisi wacatalonia tunaita dead football you have to attack and attack and attack hadi opponent apagawe akili zinavurugika
Anafunga lingine tena, credit utampa aliyepiga pasi ya mwisho mkuu!
 
Sometimes Navas awe anaficha bhana yaani katoa Rebound si bora angepangulia nje
 
Back
Top Bottom