Hikma
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 497
- 415
Baada ya kumueka Martial awazungushe tenaMourinho hatabariki kabisa.
Aisee haya ngoja tubet bahati yake na leo.Mkuu Huyo Dogo Ana Bahat Sana Na Final Game.
Kwani martial c yupo sub au unavyotaka wewe iwe ndivyo hivyo hivyo? Unataka martial aanze ili acheze dakika zote 90 au ukimuanzisha akichemka utamuingiza nani? Au ebu toa first eleven uliyoitaka iwe?Baada ya kumueka Martial awazungushe tena![]()
![]()
Sent From Heaven
Huna tofauti na uliyemquote wote mmetoa mawezo yenu na mko sahihi relax wakuu tusubiri mechi. GGMUTDKwani martial c yupo sub au unavyotaka wewe iwe ndivyo hivyo hivyo? Unataka martial aanze ili acheze dakika zote 90 au ukimuanzisha akichemka utamuingiza nani? Au ebu toa first eleven uliyoitaka iwe?
Today
GGMUSio kwamba watu wote wanaoshindwa kwenye mambo mbalimbali ni wavivu la hasha, wakati mwingine hesabu zinakataa tu...sisi tunaingia kupambana, we are fighters and we wont stop until we get what we want..... We are United aim for the best always... GGMU!!!!!
Ndiyo na nguo nitavua huko hukoUmefanya vizuri, lakini usalama upo?
Me sipendagi mtu kulialia kabla ya mpira, ndio maana kuna sub then mpira ni dakika 90 na hakuna limit ya muda wa kufanya sub sasa unalia lia kuwa fulani hajaanza fulani sijui nini ata mpira haujaanza ni kuvunjana moyo. Mbona CR7 yupo sub na ni mchezaji bora dunia. Kuanza kwa mchezaji kunategemea na mbinu alizoziandaa kocha anazotaka kuzitumia. Ni kweli tunapaswa kuwa watulivu maana inatakiwa ukimtoa mtu basi anaeingia awe hai zaidi ya aliyetokaHuna tofauti na uliyemquote wote mmetoa mawezo yenu na mko sahihi relax wakuu tusubiri mechi. GGMUTD





sijaona