Duuu kwa vyovyote vile hiyo comment ya mwalimu itawagawa watu.Chris Winterburn
@cmwinterburn
Mourinho on Fellaini, "It's easier for Galatasaray to get me than Marouane. He is too important to me. No chance."
10:09 PM - Jul 30, 2017
1111 Replies
159159 Retweets
Sisi kazi yetu kubwa ni kuisupport timu yetu,na kama mashabiki kila mtu atakuwa na mtazamo wake kuhusu wachezaji ila yote hiyo ni kutaka kuona timu ipo katika ubora,so as long mchezaji atakuwa ni wetu sisi tupo nyuma yake,tutaponda,tutasifia,ila mwisho wa siku furaha yetu kama mashabiki ni kuona timu yetu inafanya vizuri,ndo mpira huo. GGMUTD
Fellain namfananisha na paka Mweusi,ana bahati Mbaya lakini kwangu ndio mchezaji namba 1 anayefiti katika mifumo yote ya Mou katika eneo la kiungo.Mourinho: "It's easier for Galatasaray to get me than Marouane. He is too important to me. No chance."
Mourinho: "I'm waiting for news on Matic. I know that he wants to join United very very much."
Mourinho: "Number 31 is a free number. It was Schweinsteiger. It’s a free jersey, we have a few free & 31 is one of them."
Mourinho: "I'm not going to lose my hair to speak about Antonio Conte."
Mourinho: "It is step by step. Lindelof needs his time & we are going to give him time. I'm happy with him."
Aisee watu waache kumchukia Fellaini.. Huwa anasaidia sana, tatizo akikosea kidogo watu wanapiga kelele. Kama kocha anamkubali then yeye ameona kitu ndani yake.
I second you bro@Pole Herera,naomba Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu kwako na familia kwa kupoteza Mpendwa wenu.Ushindi wa leo nau dedicate kwa mkuu Kamanda na Fans mwenzetu hapa jukwaani.. herrera
Mungu akupe uvumilivu, subra na ujasiri ktk kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mwanao ghafla namna. Mungu akujaze faraja, amani na akuondolee kila sononeko litakalokukumba ktk kipindi hiki.
Sisi Wana Family MUFC tuko nawe ktk kipindi hiki kwa sara na maombi. Ondoa upweke huku ukiutafakati ukuu wa Mungu kwamba sisi sote ni wake na humrudia siku yoyote atuitapo kwa njia yeyote.
Pole sana Comrade.
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said mkuu. Mimi binafsi sijali nani atakua anaanza au kusugua benchi. Kitu nachotamani ni tuwe na wachezaji wengi wazuri kwa sababu injuries huwa zinatugharimu sana.Fellain namfananisha na paka Mweusi,ana bahati Mbaya lakini kwangu ndio mchezaji namba 1 anayefiti katika mifumo yote ya Mou katika eneo la kiungo.
Mou huwa anapata tabu katika kuwapanga akina Mikh,Matta na Pogba lakini sio kwa Fellain but inategemea na aina ya Match.
Mfano Match yenye viungo washambuliaji wengi huwezi muacha Fellain nje.
Kwa kifupi na niwasaidie mashabiki Wenzangu wengi,Fellain ndio kiungo mshambuliaji mwenye uwezo wa kukaba Duniani kwa sasa.
Yaani Fellain ndiye namba 10 Mwenye uwezo wa kushambulia na kukaba kwa wakati mmoja,hapa kama unamkumbuka Rivaldo da Silva,Figo n.k ni Viungo washambuliaji wachache wenye uwezo huu.
Utalazimika kumuacha Fellain kwenye match na Barcelona au Madrid kama utatumia mfumo Wenye kuruhusu Viungo Zaidi ya wanne/watano uwanjani.
Lakini kama ni 4-3-3 huwezi muacha Fellain nje,hili linaweza kuwa jepesi kama tutamsajili Matic.
Kuja kwa Matic kunasababisha hali ngumu ya kupata namba kwa Matta,Lingard na Fellain,inabidi mifumo kubadilika ili kuwatumia Matic,Pogba na Herera kwa wakati mmoja.
Yaani Mbele uwe na Matic (6),Herera (8)Pogba (7),9 (lukaku),10 (Rashford)na 11 (Martial).
Hali itakuwa Mbaya zaidi kwa Matta,Lingard na Fellain kama timu itawasajili Matic na Persic mana italazimu wing moja kuwa active na kupunguza Viungo wa kati.
Newfame 2017.
Analysis yangu kwenye mchezo wa leo,baadaye kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu valencia wa pre season sio mwenyewe kabisa...au likizo alikuwa anacheza sana mipira ya viwanja vidogo na mke wakeKawaida yao, hata ukiwafunga lazima waupige.... Team yetu sio mbaya pia. Nimemuona Pogba nimtakaye Leo.
Hivi Valencia ametumwa? Kosa la pili pre-season anafanya yeye....
Anaegawika hajakomaa kiakili...