Fellain namfananisha na paka Mweusi,ana bahati Mbaya lakini kwangu ndio mchezaji namba 1 anayefiti katika mifumo yote ya Mou katika eneo la kiungo.
Mou huwa anapata tabu katika kuwapanga akina Mikh,Matta na Pogba lakini sio kwa Fellain but inategemea na aina ya Match.
Mfano Match yenye viungo washambuliaji wengi huwezi muacha Fellain nje.
Kwa kifupi na niwasaidie mashabiki Wenzangu wengi,Fellain ndio kiungo mshambuliaji mwenye uwezo wa kukaba Duniani kwa sasa.
Yaani Fellain ndiye namba 10 Mwenye uwezo wa kushambulia na kukaba kwa wakati mmoja,hapa kama unamkumbuka Rivaldo da Silva,Figo n.k ni Viungo washambuliaji wachache wenye uwezo huu.
Utalazimika kumuacha Fellain kwenye match na Barcelona au Madrid kama utatumia mfumo Wenye kuruhusu Viungo Zaidi ya wanne/watano uwanjani.
Lakini kama ni 4-3-3 huwezi muacha Fellain nje,hili linaweza kuwa jepesi kama tutamsajili Matic.
Kuja kwa Matic kunasababisha hali ngumu ya kupata namba kwa Matta,Lingard na Fellain,inabidi mifumo kubadilika ili kuwatumia Matic,Pogba na Herera kwa wakati mmoja.
Yaani Mbele uwe na Matic (6),Herera (8)Pogba (7),9 (lukaku),10 (Rashford)na 11 (Martial).
Hali itakuwa Mbaya zaidi kwa Matta,Lingard na Fellain kama timu itawasajili Matic na Persic mana italazimu wing moja kuwa active na kupunguza Viungo wa kati.
Newfame 2017.
Analysis yangu kwenye mchezo wa leo,baadaye kidogo.
Sent using
Jamii Forums mobile app