Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,012
- 945
Kawaida yao, hata ukiwafunga lazima waupige.... Team yetu sio mbaya pia. Nimemuona Pogba nimtakaye Leo.Jamaa wanapiga mwingi dah
Kawaida yao, hata ukiwafunga lazima waupige.... Team yetu sio mbaya pia. Nimemuona Pogba nimtakaye Leo.
Hivi Valencia ametumwa? Kosa la pili pre-season anafanya yeye....
Blind wa van gaal alikuwa kitasa haswa.Blind smalling hawa majamaa cjui bado wanatafuta nn utd poor marking poor passing lindelof nae yuko too soft haez tackle kama akina bailly yaan dah
Jipeni moyoKawaida yao, hata ukiwafunga lazima waupige.... Team yetu sio mbaya pia. Nimemuona Pogba nimtakaye Leo.
Hivi Valencia ametumwa? Kosa la pili pre-season anafanya yeye....
Mkuu vp huna makazi? Unavizia kibaraza cha kulala? Angalia utawekwa celo kwa kosa la uzururaji.

