Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Afu valencia wa pre season sio mwenyewe kabisa...au likizo alikuwa anacheza sana mipira ya viwanja vidogo na mke wake


mourinho kamuagiza ed amchukue serge wa psg na.2 na perisic haraka wakimaliza dili la matic naona kishaona valencia anatakiwa kurud kwenye majukumu ya kushambulia tupate natural bek no.2 namba 3 kuna mtiti wapo wengi balaa.
 
Wadau wa man u na timu zingine, ndugu yetu herrera kafiwa na mtoto wake leo jioni, kagongwa na pikipiki, sio mbaya hata tukimkumbuka kwa kumfariji tu, sio lazima pesa hata neno la faraja tumpatie katika kipindi hiki kigumu kwake.

Namba yake ni 0742197840
Hilo ni pigo pole yake na fans wote wa united na wapenda michezo kwa ujumla
 
Back
Top Bottom