Kiukweli mi naona timu yetu bado ina safari hasa nikiangalia wachezaji wetu tulionao na hao tunaowawania,na nikipima na vikosi vya wenzetu kama Man City, Bayern,Real, Barca, PSG n.k naona bado tuna average squad coz Martial hakuwa na consistency, mkhitaryan nae bado alikuwa haja settle vema, Lingard huwa haeleweki, beki 3 hadi sasa haijakaa poa, beki 2 ni Valencia tu anayeweza cheza kama full backs wanavyopaswa yani kupanda na kushuka, beki wa kati Jones na smalling hawakuwa na msimu mzuri + Lindelolf haja impress kabisa pre season. Nadhani Lukaku ni usajili mzuri, tukimpata na Perisic itakaa poa sana pia. Nadhani tungempata na Sergei Aurie pamoja na matatizo yake ingesaidia,au hata fabinho. Vingnevyo naona kabisa tutaendelea kucheza kwa kuvizia vizia,na tutapocheza na timu kubwa zingne tutaendelea kuonekana inferior.
Sent using
Jamii Forums mobile app