75edabc278dc46ab0597963a2adaf4f9.jpg
e9b7638fa2d6dcd03e49ec535ce3a392.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinouma yani huyu jamaa huwa anafanya niipende man u mara mia zaidi anajituma uwanjani ni fighter sana, saivi namwombea apone haraka aise!
Kuna mwingine anaitwa Ander Herrera nae ni moja ya watu nawaelewa sana pale OT
Tupo pamoja kamanda Mimi nawakubali sana hao uliowataja Herrera & rojo wana roho ya ushindani hawakati tamaa kirahisi-rahisi.

Yaani ngadu kwa ngadu roho ya ujasili usiyo na huruma uwanjani...huwa napenda wachezaji wa aina hii Mfano wengine Vidal,verrat.nk.
 
Naona sasa Pogba anaanza kuchezeshwa namba/eneo lake alilolizoea bila majukumu makubwa/Free role player.

Tofauti na msimu uliopita ambapo alikuwa na majukumu mengi katika eneo la kiungo.

Tukifanikiwa kumpata Matic nadhani Pogba atakuwa huru Zaidi huku akilindwa na Viungo wawili mafundi,Matic na Herera.

Yeye akiwa na kazi ya kusaidia mashambulizi na kushambulia Zaidi, ambapo last season alikuwa na majukumu ya kukaba Zaidi kuliko kuchezesha timu.

Leo tumuangalie Zaidi Fosou Mensah katika namba 2 ambayo a nategemea kuja kuwa mbadala wa Valencia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinouma yani huyu jamaa huwa anafanya niipende man u mara mia zaidi anajituma uwanjani ni fighter sana, saivi namwombea apone haraka aise!
Kuna mwingine anaitwa Ander Herrera nae ni moja ya watu nawaelewa sana pale OT
Kuna muda natamani hii kasi,njaa na aina ya mchezo wa Rojo,Valencia,Rashford na Herera natamani iwe kwa wachezaji wetu wote,wanapambana kweli kweli katika maeneo yao.

Huwa ni Vita na wanakichafua,ukiangalia takwimu za km walizotembea ndani ya uwanja hawa jamaa huwa zinakuwa juu muda wote,tofauti na hawa mabishoo Wengine.

Acha Matic jembe lingine lije pale kati kwa ajili ya kukichafua Zaidi.

Tunataka tuwe na wachezaji wanaopambana na kupigana mwanzo mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau wa man u na timu zingine, ndugu yetu herrera kafiwa na mtoto wake leo jioni, kagongwa na pikipiki, sio mbaya hata tukimkumbuka kwa kumfariji tu, sio lazima pesa hata neno la faraja tumpatie katika kipindi hiki kigumu kwake.

Namba yake ni 0742197840
 
Dooh.
@herrera Mungu akutie nguvu katika kipindi kigumu ulichonacho.
Pole sana brother.
Hadi mood imeisha.
Mungu amlaze mahali pema peponi.
Ameen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona sasa Pogba anaanza kuchezeshwa namba/eneo lake alilolizoea bila majukumu makubwa/Free role player.

Tofauti na msimu uliopita ambapo alikuwa na majukumu mengi katika eneo la kiungo.

Tukifanikiwa kumpata Matic nadhani Pogba atakuwa huru Zaidi huku akilindwa na Viungo wawili mafundi,Matic na Herera.

Yeye akiwa na kazi ya kusaidia mashambulizi na kushambulia Zaidi, ambapo last season alikuwa na majukumu ya kukaba Zaidi kuliko kuchezesha timu.

Leo tumuangalie Zaidi Fosou Mensah katika namba 2 ambayo a nategemea kuja kuwa mbadala wa Valencia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Matic yuko kwenye vipimo muda huu. punde wanamtangaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna muda natamani hii kasi,njaa na aina ya mchezo wa Rojo,Valencia,Rashford na Herera natamani iwe kwa wachezaji wetu wote,wanapambana kweli kweli katika maeneo yao.

Huwa ni Vita na wanakichafua,ukiangalia takwimu za km walizotembea ndani ya uwanja hawa jamaa huwa zinakuwa juu muda wote,tofauti na hawa mabishoo Wengine.

Acha Matic jembe lingine lije pale kati kwa ajili ya kukichafua Zaidi.

Tunataka tuwe na wachezaji wanaopambana na kupigana mwanzo mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu, rojo ananikumbusha msemk wa beki wakupanda nakushuka jamaa anazunguka uwanja mzima! Ukifikiria hakabi nyuma jaribu kupita huyu hapa! Yaani huwa naenjoy sana mpira wake full kukamia full akili
 
Wadau wa man u na timu zingine, ndugu yetu herrera kafiwa na mtoto wake leo jioni, kagongwa na pikipiki, sio mbaya hata tukimkumbuka kwa kumfariji tu, sio lazima pesa hata neno la faraja tumpatie katika kipindi hiki kigumu kwake.

Namba yake ni 0742197840

da pole zake jembe letu
 
Back
Top Bottom