Vizuri. Amesign mkataba mrefu hadi 2021...ila De Gea si hatoondoka mkuu?
Post sent using JamiiForums mobile app
Inategemea na Dau na maslahi yake binafsi,kama watafika dau linalotakiwa na Man U basi hamna namna ataruhusiwa tu akajiunge nao,kama ilivyo kwa Cristiano Ronaldo hatukupenda kuumuza lakini kwa pesa iliyotolewa hakukuwa na jinsi.
Lakini sioni hili likitokea kwa De Gea,moja sioni shida ya nafasi ya Golikipa kwa Real Madrid.
Mbili uhasama ulioanza kujitikeza baina ya Man U na Real Madrid kwa sababu za kibiashara na faida inayozalishwa katika club hizi Mbili.
Madrid hawakutaka kuwauzia Man U washambuliaji wake wawili Morrata na Rodriguez wakihofia kuimarisha Man U msimu ujao na kuweza kuja wapinzani katika Uefa champion Ligue msimu ujao, hii kutokana na Uwepo wa kocha mwenye uzoefu na uwezo pamoja na mafanikio yaliyopatikana msimu uliopita.
So Man U nao kutokuwa tayari kuwauzia Rea Madrid mchezaji wao.
Huu uhasama unaweza kuja kuwa kama wa Man U na Liverpool.
So Man United namba 1 Golikipa still ni David de Gea.
Tunamuhutaji sana next season mana tunahitaji kurejesha heshima Yetu.
Lakini Kitendo cha kuongezewa mkataba Romeo na mshahara pia ni maandalizi endapo litatokea hilo nililolieleza hapo juu kwa De Gea kwa Madrid,mfano wakatoa 60mio Us.
Tukumbuke kazi ya Romeo msimu uliopita na kuwezesha kushinda Kombe la EUROPA Ligue.
So lazima tuwe na uhakika na Golikipa katika hizi harakati.
Post sent using JamiiForums mobile app