DE FULE
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 1,213
- 714
Wambeya wa The Sun wanadai Monaco wamekubali kumuuza Bakayoko kwa Manutd badala ya Chelsea kwa £40 mill
View attachment 539441
Nimeshapata hapa hii post mdau alichambua, nimeelewa itakuwa muda kama wa juzi saa 11 asubuhi. Thanks.RATIBA YA MANUTD PRESEASON.
July 15
LA Galaxy v. Manutd saa 12 asubuhi
July 17
Real Salt Lake v. Manutd saa 12 asubuhi
July 20
ManCity * v. Manutd saa 11:30 asubuhi
July 23
Real Madrid* v. Manutd saa 7 usiku
July 26
Barcelona* v. Manutd saa 9:30 usiku
July 30
Valerenga v. Manutd saa 3 usiku
August 2
Sampdoria v. Manutd saa 4:45 usiku
*= subject to confirmation
Nahisi na zile namba 7 na 10 zilizoachwa mojawapo inaweza kuwa yake.
I mean tunayocheza nayo
goli moja. Nenda katangazeHodi humu wakata mkaa??
Hivi huyu romeru makapu ana magoli mangapi mpaka saaasa aliyofunga kwenye mazoezi Huko marekani??????
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Red?..Valencia kala umeme.
Red?..
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Ilitakiwa iwe Yellow.Ndio
.