Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Lukaku mazoezini na Manutd kwa mara ya kwanza
Uzoefu na changamoto za Chelsea zimemkomezamou yuko very social na kila mtu
ni man utd tu au timu nyingine ilikuwa hivi?
Huyu Lukaku akiwa WestBrom Albion aliwahi kutufunga hat trick na Ferguson alinuna kweli hebu chungulia
Vip mda hawaja endicate
Kwahyo aliifunga Lipuli Fcligi ilishaisha na ubingwa tulishabeba ilo lilukua zali tu hana uwezo wa kutufunga hat trick huyu
Wakati ukifika muda tutapashana tu ondoa khofuVip mda hawaja endicate
Sent from my SM-G800H using JamiiForums mobile app
Hata ingelikuwa friendly match kuifunga ngome na kipa wa Manutd goli 3 siyo jambo dogo la kupuuzwaligi ilishaisha na ubingwa tulishabeba ilo lilukua zali tu hana uwezo wa kutufunga hat trick huyu
Mubashara kabisa!MUTV sasa kuna kipindi cha inside the tour
Vip mda hawaja endicate
Sent from my SM-G800H using JamiiForums mobile app
Afadhali aisee