Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_2017-07-09-22-20-05.png
 
Lukaku ni mzito? Uyu jamaa ana speed na nguvu sana. Ana piga miguu yote na yuko vizuri mipira ya juu.

Mkuu sijui ni hisia zangu, ila naona kama Lukaku ni updated version of Van Nisterlooy. Kama Van Nisterlooy walivyokuwa wanasema ni mvivu lakini alikuwa anatupia sana kwa kuwa by then alikuwa analishwa na viungo wa maana, na kama ilivyo sasa hivi viungo wachezeshaji tunao wakutosha, so nadhani aina ya Lukaku atatufaa pia tofauti na watu wanavyopredict. (Yes sio mkimbiaji sana kama Sanchez kusema aonekane nyuma mara kwa mara, but he is real a Killer, strong, versatile as tumeona kila alikoenda alikuwa ana bang magoal.) Na ndio maana hata Mourinho alisema kuwa kama tungekuwa na Chicharito basi kungekuwa na magoli mengine zaidi ya 20 kwasababu anajua anaehitajika sio game changer, ila ni Finisher, a Killer, someone who when is in the 18 yards hakukosi, that's what we missed. I believe sio usajili mbaya na utakuwa na matokeo mazuri tu na wengi humu watameza kauli zao.

Najua kuna watu watasema ile ilikuwa ni aina ya zamani ya uchezaji, but who cares as long as it's effective? Mbona game na Chelsea tulitumia mfumo wa zamani sana wa Man marking na tulishinda tena bila hata shida.
 
Back
Top Bottom