Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Hii khofu sijui inatoka wapi! pana shabiki mmoja kanasibisha hili la lukaku na moyes kuwa bwana David aliitengeneza vizuri toffes kwa wachezaji wa pesa kidogo tukaona akiwa na fungu zuri atafanya makubwa matokeo tuliyaona. Lukaku wapishi walikuwa sio mahiri kama ambao anakutana nao OT sasa hapo tena ni kupasia nyavu tu ndio lililobaki jamaa hana anachokijua zaidi ya kufunga na ndio tulipungukiwa hicho.Kweli mkuu naona watu wana moto wawapi cjui wanashindwa Ku reason vzur... Awaoni lukaku moto wake pamoja nakwamba alikuwa timu ndogo kama Everton lkn aliweza hadi kuwa second top scorer wa premier imagine akiwa chini ya kina pogba kina miki kina mata na kina herera
Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
