Dah bado ndugu, yani tuna wachezaji wengi mizigo tu sjui kwa nn Mou hawauzismalling hajauzwa tu
Hatari sanaView attachment 538998
Chelsea wataipata fresh
Hata mimi imenigusaView attachment 539052 Huu ujumbe wa mata unanifanye nijisikie vibaya kiukwel ntakumiss sana captain wazza [HASHTAG]#LEGEND[/HASHTAG]

Teh! Teh! Teh!Mchana walikua mazoezi wote,usiku akajibebeamtoto![]()
![]()