Kweli mkuu naona watu wana moto wawapi cjui wanashindwa Ku reason vzur... Awaoni lukaku moto wake pamoja nakwamba alikuwa timu ndogo kama Everton lkn aliweza hadi kuwa second top scorer wa premier imagine akiwa chini ya kina pogba kina miki kina mata na kina hereraAisee hata mimi nashangaa sana mtu anaposema Morata anaweza kuamua matokeo. Yaani kama vile ndo sifa yake kubwa inayomtofautisha na Lukaku. Hilo si kweli hata kidogo.
Morata anazo qualities zake nzuri tu lakini sio kusema anaweza kubadilisha matokeo.
Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app