Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man U bado kuna wachezaji kama 6 inabidi tuwaauze wanamfanya Mo ashindwe kupanga timu

Sent from my SM-N910P using JamiiForums mobile app
 
7e54bdadbc09c34e5944930860675aad.jpg
 
Bado tunahitaji mshambuliaji wa aina ya Aguero,mshambuliaji asiye mzito mzito! Lukaku ni mzito!
Bado naiona nafasi ya Morrata,na nitakuwa wa mwisho kuamini kama hatutomsajili Morrata.

Lukaku sio mchezaji wa kuamua Ushindi wa timu,ila ni mfungaji mzuri,timu inapozidiwa huwa hana msaada,yeye anahitaji sana Usaidizi wa timu katika ushindi,

Morrata ni mtu wa mwisho,anaweza kufanya maamuzi ya Ushindi wa timu pale tunapozidiwa,ana uwezo binafsi katika kufanya maamuzi.

Sababu ya pili,Tupo UEFA champion na Mou anataka kurudisha makali yake,Lukaku ametuthibitishia uwezo wake wa kufunga katika katika EPL lakini bado katika UEFA,tuna match nyingi so kuna haja ya kuwa na mshambuliaji mwingine wa kumsaidia,kumbuka tuna michezo Zaidi ya 50 per season kwa mashindano yote.

##Lukaku09
 
Man U bado kuna wachezaji kama 6 inabidi tuwaauze wanamfanya Mo ashindwe kupanga timu

Sent from my SM-N910P using JamiiForums mobile app
Haaaa haaa haaa haaa naomba tutajie list yako bro,mi kwangu naona wote Wana nafasi ila inategemea na mfumo sasa.

Ila kuna umuhimu wa kusajiliwa kwa kiungo mkabaji na muendeshaji wa Timu ili kuwafanya viungo wetu wa kushambulia na ma foward kuwa huru.

##Matic12
 
Liverpool nao haya maumivu aliwaachia Rooney watayakumbuka pengine sasa kuliko jana

 
Mbona Bolingoli hayupo?

Sent from my MAX 5 using JamiiForums mobile app
Sasa wachezaji wa Man U nao wanaonekana kuwa World Class player,misimu miwili nyuma hatukataka hata kuwasikia, hii kitu ndio tuliimiss tulikuwa wanyonge sana,tukaanza kufungwa na timu ambazo hazikuwa hi kutufunga kabla,na kutoa droo na vitimu vidogo ambavyo mwanzo tulivifunga kwa ukubwa na hadhi ya jina,now baada ya kusajiliwa kwa Mou, na yeye kuwasajili akina Pogba na sasa Lukaku na bado kuwa sokoni na kiasi kikubwa cha Pessa, kuchukua Europa Legue now tumerudi katika line yetu.

Next season kuna timu zitakuwa zikifungwa kwa ukubwa wa Jina na Wachezaji wetu,hichi ndio kiti alichokijenga Fegurson ndani na nje ya uwanja.

Kuogopwa na kuwa wababe kweli kweli.

Sasa acha tuanze na Madrid.
 
Jamani Nani anafata baada ya lukaku? Harafu Lukaku mbona hajajumuishwa kwenye kikosi leo
 
Back
Top Bottom