The Bodmas
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 405
- 403
Morata na james ndiyo basi tena au?Usajili haujakamilika. Ivan Perisic next week usajili wake utakamilka
Morata na james ndiyo basi tena au?Usajili haujakamilika. Ivan Perisic next week usajili wake utakamilka
Huwezi kujua ila kipa umbele ni Ivan PerisicMorata na james ndiyo basi tena au?
Lukaku yupo USA tayari kwahyo ataungana na timu baada ya wiki moja.Usajili haujakamilika
Ndo hivyoImekaa pouwa sana kuona lugha yetu juu ya jezi za wazungu...
Tumeshachoka kila jezi ni adidas, puma, nike na fly emirates
Acha zako kijana ni game ngapi ulizo muona morata akiamua matokeo???? Msiongee2 kisa anatoka Madrid ,,, uyo mnae muamini atakuja Fanya ujinga ad usiamini... Acha apambane na ligi nyepesi morata PL aiwez yule bado sana AF ujiulizi y anapigwa bench kila wakati?Bado naiona nafasi ya Morrata,na nitakuwa wa mwisho kuamini kama hatutomsajili Morrata.
Lukaku sio mchezaji wa kuamua Ushindi wa timu,ila ni mfungaji mzuri,timu inapozidiwa huwa hana msaada,yeye anahitaji sana Usaidizi wa timu katika ushindi,
Morrata ni mtu wa mwisho,anaweza kufanya maamuzi ya Ushindi wa timu pale tunapozidiwa,ana uwezo binafsi katika kufanya maamuzi.
Sababu ya pili,Tupo UEFA champion na Mou anataka kurudisha makali yake,Lukaku ametuthibitishia uwezo wake wa kufunga katika katika EPL lakini bado katika UEFA,tuna match nyingi so kuna haja ya kuwa na mshambuliaji mwingine wa kumsaidia,kumbuka tuna michezo Zaidi ya 50 per season kwa mashindano yote.
##Lukaku09
Bado naiona nafasi ya Morrata,na nitakuwa wa mwisho kuamini kama hatutomsajili Morrata.
Lukaku sio mchezaji wa kuamua Ushindi wa timu,ila ni mfungaji mzuri,timu inapozidiwa huwa hana msaada,yeye anahitaji sana Usaidizi wa timu katika ushindi,
Morrata ni mtu wa mwisho,anaweza kufanya maamuzi ya Ushindi wa timu pale tunapozidiwa,ana uwezo binafsi katika kufanya maamuzi.
Sababu ya pili,Tupo UEFA champion na Mou anataka kurudisha makali yake,Lukaku ametuthibitishia uwezo wake wa kufunga katika katika EPL lakini bado katika UEFA,tuna match nyingi so kuna haja ya kuwa na mshambuliaji mwingine wa kumsaidia,kumbuka tuna michezo Zaidi ya 50 per season kwa mashindano yote.
##Lukaku09
Aisee hata mimi nashangaa sana mtu anaposema Morata anaweza kuamua matokeo. Yaani kama vile ndo sifa yake kubwa inayomtofautisha na Lukaku. Hilo si kweli hata kidogo.Acha zako kijana ni game ngapi ulizo muona morata akiamua matokeo???? Msiongee2 kisa anatoka Madrid ,,, uyo mnae muamini atakuja Fanya ujinga ad usiamini... Acha apambane na ligi nyepesi morata PL aiwez yule bado sana AF ujiulizi y anapigwa bench kila wakati?
Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
Nenda wazza nenda utaendelea kubaki katika mioyo ya mashabiki wa united utumishi wako uliotukuka ni alama tosha kuwa miaka 13 ya kuwepo OT umeitendea haki nenda WAZZA.Thank u Wayne Rooney. We will definitely reminisce on those wonderful memories you left behind and wishing you the best in your childhood club.
View attachment 538593View attachment 538594