Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lukaku: "I joined Manchester United because they are the biggest club in the world & are hungry to win the league again." [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]
Screenshot_2017-07-09-13-29-26.png
 

T
Carric,Valencia na Herera mmojawapo anaweza kuwa Captain,Valencia na Carric,Valencia nadhani anaandaliwa kuja kuwa Captain wetu msimu ujao baada ya kustaafu kwa Carric.

Herea angeweza kuwa Captain lakini naona kuna sababu za Utaifa.
Hapana palikuwa na watu wengine sio wingereza na waliweza kuwa makepteni mfano wa karibu Nemanja vidic achilia mbali eric (king )cantona na hata huko nyuma hao kina Roy Keane na akina Martin buchan hawakuwa GB labda kama ulijumlisha UK maana Keane Ireland na buchan alikuwa Scotland. Ni maamuzi ya mwalimu na jopo lake
 
Kwani Ferguson kaondoka mwaka gani?
SAF aliondoka baada ya msimu wa 2012-2013,msimu wa 2010-2011 Rooney alipeleka transfer request auzwe SAF akagoma alikuwa hajapata mrithi wake msimu wa 2012-2013 SAF alimsajili RVP na akawa ndio striker no 9 Rooney akaanza kupigwa benchi na kuchezeshwa kiungo baada ya SAF kustaafu kabla ya kuanza msimu 2013-2014 Mourinho alivyorudi Chelsea alimtaka Rooney na alipeleka ofa Moyes akakataa na akamuongezea Rooney mkataba wa miaka 5 na akamrudisha Rooney kama striker no 9 na kumpiga benchi RVP
 
Lukaku kupitia ac yake ya snapchat kathibitisha kujiunga utd.

Sent from my HTC One E9PLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20170709-WA0011.jpg
    IMG-20170709-WA0011.jpg
    61.3 KB · Views: 35
Back
Top Bottom