Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa viungo wap tuliokuwa nao mkuu,msimu uliopita tulimtegemea sana herera kwenye nafas ya kiungo mkabaj na mpk sasa hamna aliyeletwa mbadala au Wa kumsaidia on a Herrera akiwa majeruhi tulikuwa tunapotea, no 10 pogba ukimrudisha 8 hamna kitu kabisa mpaka sasa hamna alosajiliwa zaid ya beck ni bora angemchukua morata ni mfungaji mzuri pia ni fundi mzur Wa kutafuta mpira kumiliki pia kufungu
Ni bora kumnunua morata kwa £90m kuliko kumnunua lukaku kwa £75m unamchukua mtu mmoja mwenye uwezo Wa kukufanyia mambo ma tatu
Kuliko kuchukua mtu mmoja mwenye uwezo Wa kufanya jambo moja tuu namaanishs [lukaku] tena tm inapozidiwa kwakweli lukaku hana msaada
 
Thaman ya lukaku haistahili kuzidi £50m
 

Usajili bado haujaisha striker ndio ilikuwa priority kubwa ya United baada ya Zlatan kuondoka baada ya kusajili CB na striker kipaumbele kinahamia kwenye defensive midfielder priority za Mourinho ni Dier,Matic Chelsea hawawezi kumuuza Matic mpaka wasajili replacement yake

Kwa mtazamo wangu ningemsajili Morata badala ya Lukaku still nakubaliana na kocha kumsajili Lukaku (mwanzo valuation ya Morata ilikuwa £60m na Lukaku ilikuwa £100m) Morata alitaka kwenda United na Lukaku alitaka kurudi darajani Chelsea walichelewa kufanya mipango ya kumsajili Lukaku while United walishaanza mchakato kumsajili Morata lakini Real Madrid walikuwa wanaongeza dau United walipeleka ofa mbili zikakataliwa ya kwanza £52m then £60m still Madrid wakataka £90 ikabidi Jose ahamie kwa option 2 baada ya kuona preasoason inaanza bado hawajasajili striker.Manchester wamemsajili kiurahisi Lukaku sababu last week Everton walianza mchakato kumsajili Rooney so United walivyopeleka offer ya kwanza Everton wakakubali na ushawishi mkubwa sana wa wakala wa Lukaku (Mino Raiola)
 

upo chaka mkuu
 
Anatakiwa sasa kiungo mkabaji
 

Sidhani kama upo sahihi mkuu. Viungo mbona tunao wengi sana. Au unataka nikutajie? Anyways, ingia manutd.com angalia tuna ma midfielders wangapi.
 
Everton will only receive £52.5 million from Man Utd on the sale of Lukaku
Reason:

1. Wayne Rooney will join Everton on a free transfer. Everton wanted £100 million but with Rooney he is worth £25 million

£100 million - £25 million = £75 million

2. Everton didn't finish paying Man Utd £15 Million for Schneiderlin who they signed in January

£75 million - £15 Million = £60 million

3. Everton have bought Michael Keane from Burnley and Man Utd will get 25% of the sales (£7.5 million)

£60 million - £7.5 million = £52.5 million

----Copy n Paste.---
 
Hata wachezaji ambao tunawaona ni bora duniani (Messi na Ronaldo) wakienda kucheza Everton wanaweza kuwa na wakati mgumu kutoa msaada pale timu itakapozidiwa. Why? Kwa sababu kuna tofauti kubwa sana ya strength ya vikosi wanavyochezea wachezaji hawa.

Madrid wana uwezo mkubwa wa kikosi kuliko Everton, hivyo wanaweza kubadilisha mchezo kirahisi kuliko Everton.

Binafsi sijawahi kuona mechi ambayo Madrid amezidiwa halafu Morata ndo akawa msaada kwa team.

So, Lukaku akija kwetu (until it's official), nyuma yake atakua na viungo tofauti na wale wa Everton, atakua na viungo hatari zaidi ya alipotoka hivyo hata tema ikizidiwa, still hao viungo ndo watakaofanya yeye aonekane msaada.

Kumbuka mchezaji mmoja tu hawezi kufanya kila kitu uwanjani, lazima chemistry ya team nzima ifanye kazi.
 
YOU NAIL IT! Akirudi nishtue mkuu.
 
Aaaah aaaah aaaah umepanic bro,tuongee mpira bwana,Mou ametupa Europa Ligue tayari,Pogba amesharudisha pesa yetu Jezi yake na ongezeko la mikataba ya wadhamini vimeifanya man u kuwa ya kwanza kwa pesa Duniani
Nipanic nn sasa, ktk andishi langu umeona kipi cha ajabu hadi nipanic. Nimesema nijuacho.
 
Sidhani kama upo sahihi mkuu. Viungo mbona tunao wengi sana. Au unataka nikutajie? Anyways, ingia manutd.com angalia tuna ma midfielders wangapi.
Yupo sahihi Viungo tunao wengi lakini wengi ni Viungo washambuliaji Viungo wakabaji tunao wawili tu Herera na Carrick kwa kifupi tunaye mmoja tu,mana Carric umri umeshasogea so tunabaki na Herera,ndio mana mara chache humtumia Blind kama kiungo mkabaji.

Kwa hiyo tunalazimika kusajili kiungo mwingine mkabaji.
 
Tunawahitaji wote wawili vinginevyo Lukaku atakabwa sana tutarudi kule kule
Kiukweli sijawahi muona lukaku aki perform kiuanaume katika mechi kubwa. Namuona ni mchezaji was mechi ndogo. Hyo inantia wasiwasi kwenye UCL
 
Kwani hela ya Kean wanalipa Everton?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…