Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu ebu tufanye analysis ndogo tu ambayo haitaji kuchimba sana...ebu tujiulize imemchukua Lukaku misimu mingapi ili kuwa na uwezo wa kupata magoli 20+
Na angalia Rashford ni msimu wake wa ngapi huu na ameonesha potential ya kiasi gani
Rashford ni msimu wake wa pili.

Msimu wa kwanza (2015/16) kacheza mechi 11 kafunga goli 5.

Msimu wa pili (2016/17) kacheza mechi 32 (16 sub) kafunga tena goli 5.

Lukaku kuanzia 2012 yuko juu ya goli 15 kutoa 2014/15 alikuwa na goli 10.
 
Mtu anafuga mbwa mkali nyumbani na getini anaweka kibao kuwa kuna mbwa mkali hapa pita kwa tahadhari. Watu wote wanaheshimu huo mtaa.
Bahati mbaya mbwa mkali anakufa kwa siri wengi hawajui wanabaki kuogopa bango tu ambalo mwenye mbwa kasahau kulitoa.
Man united ile ya wakati wa akina bathez kurudi nyuma haipo na haiji kuonekana.
Hii Man inayotunguliwa nne hadi na timu za mk donas ni shida. Imebaki story kama ilivyo kwa Liverpool. Man u haina meno kwisha habari yake.
Mkuu unashabikia timu gani?
 
Mzigo,kwangu binafsi Lukaku hana thamani hiyo lakini ndio hivyo soko limebadilika sana na tunahitaji kuwa na Mshambuliaji wa uhakika zaidi hatuna jinsi Morata ndio kama hivyo,na tukiendelea kuchelewa tunaweza mnunua kwa Zaidi ya hiyo bora hivyo na huku tukienda pre season tukiwa na uhakika na mshambuliaji.

Lukaku kwangu tungemchukua kati ya 60 na 50 or 45.

Umemshusha thamani sana,uwekezaji wa mchezaji unangalia vitu vingi sana umri,uwezo wake wa kufunga,uwezo wa kujifunza mambo mapya. Martial alisajiliwa kwa £50m kwanini Lukaku asisajiliwe kwa £75m wakati ana umri mdogo,ana zaidi ya miaka 10 ya kuendelea kucheza,uwezo wake wa kufunga unaongezeka kila msimu.
 
Ni kweli lakini angalia ni kwenye mechi zipi kapata magoli mengi...yeye sio day to day scorer...akiwakuta vibonde anawanywa goli za kutosha...mechi za maana haonekani kabisa
Mind you still tuna UCL ambako ni league ya wakali tu wa ulaya

Hizo timu ndogo ndio zilizotutoa jasho msimu uliopita,droo za ajabu na kina Stoke,Burnley,Swansea,Westham,Hull City,Sanderland nani anazitaka tena? Aje kuzifunga hizo timu ndogo halafu kubwa watafunga wengine.
 
dc78a0cc05f85569f4ecfe61e7d194f7.jpg
52af27bfd9999fc8a2a809dd96bfd42d.jpg
c02b0ec3a12ec4e13e851d64cf55caf4.jpg
ad78d9854b80137d88c600c7beb01783.jpg
 
Hizo timu ndogo ndio zilizotutoa jasho msimu uliopita,droo za ajabu na kina Stoke,Burnley,Swansea,Westham,Hull City,Sanderland nani anazitaka tena? Aje kuzifunga hizo timu ndogo halafu kubwa watafunga wengine.
Kisu cha ngaliba ulikuwa kijana mwema sana tatizo hapo katikati makundi yalikuvuruga. Upo sahihi kabisa. Hasa ukizingatia Lukaku ana mengi ya kujifunza Man U na kwa muda mrefu i am sure ataendelea kuwa mchezaji na mfungaji bora. Ikizingatiwa kwa sasa ndiye mshambuliaji atakayekuwa tegemeo.
 
Makundi yapi?
 
Hizo timu ndogo ndio zilizotutoa jasho msimu uliopita,droo za ajabu na kina Stoke,Burnley,Swansea,Westham,Hull City,Sanderland nani anazitaka tena? Aje kuzifunga hizo timu ndogo halafu kubwa watafunga wengine.
Tena kama hao stoke city ilikuwa kama mchezo wa kuigiza. Wacha irudi enzi ya wamakonde wale wawili Yorke na Cole tatizo letu ilikuwa mfungaji na lukaku anatosha
 
Mtu anafuga mbwa mkali nyumbani na getini anaweka kibao kuwa kuna mbwa mkali hapa pita kwa tahadhari. Watu wote wanaheshimu huo mtaa.
Bahati mbaya mbwa mkali anakufa kwa siri wengi hawajui wanabaki kuogopa bango tu ambalo mwenye mbwa kasahau kulitoa.
Man united ile ya wakati wa akina bathez kurudi nyuma haipo na haiji kuonekana.
Hii Man inayotunguliwa nne hadi na timu za mk donas ni shida. Imebaki story kama ilivyo kwa Liverpool. Man u haina meno kwisha habari yake.
Kumbuka lakini sisi ni mabingwa wa Europa Ligue na ni misimu mitatu kabla ndio hatukufanya vizuri na Viashiria Vyote vinaonesha kurudi kwa ufalme wa Man U next season.

Huwezi ifananisha Liverpool na Man United chief katika hiyo Scenario yako.

Sisi kwa miaka miwili mfululizo licha ya kutokuchukua ubingwa bado tuliongoza kwa mauzo ya Jezi na thamani ya brand Yetu,Man United ndio timu yenye thamani Mbele ya Real Madrid iliyochukua UEFA championship mara mbili mfululizo.

Kwa takribani miaka 10 mfululizo man United haijawa kuwa chini ya namba mbili kwa timu zenye uwezo wa kifedha na thamani.

Hivyo ni rahisi kwetu kuingia sokoni na Zaidi ya 200 mio pounds kununua wachezaji na Makocha kitu ambacho Liverpool hawawezi.

Man United pekee ndio yenye uwezo wa kupambana na Real Madrid sokoni na ndio mana tuna rekodi ya Mchezaji ghali Zaidi Duniani na tunakaribia kutoa 75 kwa ajili ya Lukaku na 45 kwa ajili ya Matic na bado tunaweza kutoka 80 kwa ajili ya Morrata,kitu ambacho Liverpool hawakiwezi.

Ukija kwenye Makocha now tuna World Class kocha ambaye sina hakika kama Liverpool inaweza kumchukua na kumlipa.
 
Back
Top Bottom