Newfame
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 485
- 1,134
Aaaah aaaah aaaah umepanic bro,tuongee mpira bwana,Mou ametupa Europa Ligue tayari,Pogba amesharudisha pesa yetu Jezi yake na ongezeko la mikataba ya wadhamini vimeifanya man u kuwa ya kwanza kwa pesa DunianiSubiri hizo droo zibadilike muone mengine maana umeandika kama unapiga ramli. Mambo mengi ni ya kufikirika.
Umejaza maneno mengi ya kufikirika huyo kocha kafukuzwa alikotoka subiri mtamfukuza muda si mrefu.