fadtanji
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 768
- 999
Mkuu wadau wameshaelezea huko juu sisi tunataka point kutoka kwenye team ndogo, msimu ulioisha tumepoteza point nyingi kwa team ndogo. Acha lukaku aje tuone, dunia sasahivi ina uhaba wa striker, Morata aliyekuwa anasugua bench Madrid wanataka 80. Achana na haters hata tungemnunua Morata wangeponda tu.Kiukweli sijawahi muona lukaku aki perform kiuanaume katika mechi kubwa. Namuona ni mchezaji was mechi ndogo. Hyo inantia wasiwasi kwenye UCL
GGMU