Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_2017-07-07-00-38-21.png
 
Romelu Rukaku is a decent player but he will need to work harder when he get to Manchester United to be like Tevez, Ibrahimovic or Rooney when he was younger. He will need to improve his link up play, back to the goal work and his first touch to become legend at Man Utd. On other hand is strong, pace and great finisher, therefore if he work on his game he might become one of the best in the world and United Legend. Time will tell.
 
Jana nilimsikia shabiki mwenzetu wa Manchester united anasema dau la kumsajaili Lukaku ni kubwa Sana na yeye anaumia sana kuwa Lukaku hana hiyo thamani,

Nilicheka sana how come unaumia kwa hela usiyoitoa wewe... Ushabiki wetu wa simba na yanga wa kutaka tuwe involved kwa kila kitu kwenye team uwe na mipaka jamani ... Sisi tujiandae na Kupiga kelele kwenye vibanda umiza financial issues za team hazituhusu

GGMU
 
Japo sijawahi changia humu jukwaani ila kwa hili naomba nichangie kidogo kwa ufahamu wangu.

Navyo jua jinsi timu zinavyo sajili wachezaji kwa bei kubwa na mishahara mikubwa hii inapelekea gharama za uendeshaji wa timu kuongezeka. Kwa kuongezeka huko gharama mauzo ya TV rights zitapanda sababu timu ni brand na gharama ya kuendesha hiyo brand imepanda. Kwa hiyo mfano DSTV itabidi alipie gharama kubwa hali itayo pelekea na wao kupandisha bei za huduma. Mwisho wa siku sisi wa kibnda umiza tutakuja kulipia bandani pale. Sasa katika hiyo scenario usiombe na thamani ya pesa yetu ishuke dhid ya dollar.

Kwa hiyo kwa namna moja au nyingine na sisi inatuathiri.
 
Mkuu angalia Tarehe hapo chini ni 06 July si ni leo au mbona unabisha...???
Siku zote mfumo wa Mourinho ni kutumia striker mmoja (Drogba,Milito,Benzema,Costa,Zlatan) na soka limebadilika hakuna timu zinazochezesha striker 2 kama zamani.Sababu kubwa ya Morata kutaka kuondoka Madrid ni kutaka kupata nafasi kucheza kikosi cha kwanza sio kukaa kugombea namba.Kama Real Madrid wasingesumbua kwenye negotiation Morata angesajiliwa badala ya Lukaku
 
Lukaku EPL musimu uliopita goli 25+ sijui hawaoni hata hili

Ni kweli lakini angalia ni kwenye mechi zipi kapata magoli mengi...yeye sio day to day scorer...akiwakuta vibonde anawanywa goli za kutosha...mechi za maana haonekani kabisa
Mind you still tuna UCL ambako ni league ya wakali tu wa ulaya
 
Lukaku sio mzuri kwenye mechi kubwa lakini usimlinganishe na Rashford. Unamkosea heshima Lukaku.

Mkuu ebu tufanye analysis ndogo tu ambayo haitaji kuchimba sana...ebu tujiulize imemchukua Lukaku misimu mingapi ili kuwa na uwezo wa kupata magoli 20+
Na angalia Rashford ni msimu wake wa ngapi huu na ameonesha potential ya kiasi gani
 
Romelu Rukaku is a decent player but he will need to work harder when he get to Manchester United to be like Tevez, Ibrahimovic or Rooney when he was younger. He will need to improve his link up play, back to the goal work and his first touch to become legend at Man Utd. On other hand is strong, pace and great finisher, therefore if he work on his game he might become one of the best in the world and United Legend. Time will tell.
Poleni
 
Your best player is Spain's 25th choice midfielder. He has never started a game or kicked a ball in anger in a competitive fixture for Spain
 
Ni kweli lakini angalia ni kwenye mechi zipi kapata magoli mengi...yeye sio day to day scorer...akiwakuta vibonde anawanywa goli za kutosha...mechi za maana haonekani kabisa
Mind you still tuna UCL ambako ni league ya wakali tu wa ulaya
Hivyo hivyo tunamtaka,azifunge hizo timu ndogo maana ndo nyingi,hizi big four atafunga hata pogba,micky,rojo na wengineo.

Halafu msisahau hizo timu ndogo kazifunga akiwa na timu ndogo( everton). Sasa akija utd anazungukwa na wachezaji bora ambao watamrahisishia kufunga.

Halafu swali la kujiuliza ni je Lukaku akipata chance ya kufunga his he a great finisher? Jibu ni ndio na hamna timu msimu uliopita iliyotengeneza chance za kufunga kama sisi man utd ila tulikosa a great finisher. Zlatan ni mzuri tena sana but we can't demand more from the guy alichokifanya kulingana na umri wake tunamshukuru ila kakosa sana magoli.

Lukaku ni mchezaji sahihi kwetu.
 
Mtu anafuga mbwa mkali nyumbani na getini anaweka kibao kuwa kuna mbwa mkali hapa pita kwa tahadhari. Watu wote wanaheshimu huo mtaa.
Bahati mbaya mbwa mkali anakufa kwa siri wengi hawajui wanabaki kuogopa bango tu ambalo mwenye mbwa kasahau kulitoa.
Man united ile ya wakati wa akina bathez kurudi nyuma haipo na haiji kuonekana.
Hii Man inayotunguliwa nne hadi na timu za mk donas ni shida. Imebaki story kama ilivyo kwa Liverpool. Man u haina meno kwisha habari yake.
 
Back
Top Bottom