Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Mkuu unafkiri lukaku anaweza kuendana na mfumo wetu?je ni sahih kununuliwa kwa nzigo mkubwa ivo Wa pesa?Mourhnio hizi ndo zake kuna wakati Manutd walitaka kumsajili Fabregas akatuzidi kete na sasa historia imejirudia kwa Conte na Chelsea yake
View attachment 536757
Mabao dhidi ya ten bottom teams ndiyo siri ya ushindi na Lukaku musimu uliopita aliwafunga 17 tukiyapata hayo kwa hizo timu ubingwa tunaoMkuu unafkiri lukaku anaweza kuendana na mfumo wetu?je ni sahih kununuliwa kwa nzigo mkubwa ivo Wa pesa?
Anakuja sikilizia muziki wa MourhnioMapenzi yangu makubwa niliona mwarobain Wa hili ni fundi alivaro morata anaendana na kila mfumo ambao mou ataamua kuutumia pia ni bora hata piere aubaneyang kuliko lukaku
Ni mtazamo wangu tuu
Marongota
Hiyo habari ni kabla United hawajaswitch kumsajili Lukaku,deal ya Morata kuja United limekufa
Mkuu angalia Tarehe hapo chini ni 06 July si ni leo au mbona unabisha...???Hiyo habari ni kabla United hawajaswitch kumsajili Lukaku,deal ya Morata kuja United limekufa
Mi moyo ulishatua kwa morataMapenzi yangu makubwa niliona mwarobain Wa hili ni fundi alivaro morata anaendana na kila mfumo ambao mou ataamua kuutumia pia ni bora hata piere aubaneyang kuliko lukaku
Ni mtazamo wangu tuu
Marongota
Wanaweza kutua wote acha tusubiriMi moyo ulishatua kwa morata
Watachezaje ndugu na huku wote ni 9Wanaweza kutua wote acha tusubiri
The Sun ni gazeti la udaku, skysports ndo reliable soirce kwangu!
Lukaku ni zaidi ya welbeck mara 1000...ilasio mchezaji wa kutegemea kuibeba timukm welbeck tu