Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,294
km welbeck tuLukaku bonge la mchezaji....
Issue ni kwamba kutoa £90 kwa bench warmermkuu huu usajili me naona km man wamepanick jamaa co mzuri kiivyo...angekuwa wamaana sn kipndi 2mekoma na morata chelsea wangeshambeba ! na km kwenye option huyu atakuwa alikuwa chagua la mwisho
labda mou atawachukua wote japo kwa mujibu wa sky sports morata kwisha habari yakeManagement ya Chelsea wako slow kufanya usajili,Kama option 1,2 hazipatikani unahamia option no 3mkuu huu usajili me naona km man wamepanick jamaa co mzuri kiivyo...angekuwa wamaana sn kipndi 2mekoma na morata chelsea wangeshambeba ! na km kwenye option huyu atakuwa alikuwa chagua la mwisho
Lukaku usimfananishe na yule mkaa bench alaf hato iweza mikiki ya EnglandMorata na lukaku Nani anatufaa zaidi pale mbele
Wote wazuri ila ingemchukua muda morata kuzoea EPLMorata na lukaku Nani anatufaa zaidi pale mbele
Bado Morata na kama Mbappe Real watampata basi hatumalizi kesho atajiunga na timu kuelekea USA
Anafunga zaidi ya 30 goals next season ukichanganya na Morata na Perisic watatukoma musimu ujaoNakwambia lukaku atapasua tu anamiguvu na akili ila perez kafanya utoto kabisa morata kaa benchi januari tutatoa £ 30
Yeah man. Can't wait.Anafunga zaidi ya 30 goals next season ukichanganya na Morata na Perisic watatukoma musimu ujao
Kikubwa kwa Lukaku ni uzoefu mkubwa wa EPL
Alvaro Morata anakuja tu hahusiani na usaili wa LukakuLUKAKU LATEST
Here's an update from our reporter James Cooper.
"Manchester United have got their number one target. I’m told the Wayne Rooney deal isn’t linked with this offer, although negotiations are going on between the clubs. Lukaku will have a medical in the next couple of days, which means he should be able to join up with the squad in America for pre-season. United report for training on Saturday and fly out on Sunday.
"This means United have ended their interest in Real Madrid striker Alvaro Morata."
Issue ni kwamba kutoa £90 kwa bench warmerlabda mou atawachukua wote japo kwa mujibu wa sky sports morata kwisha habari yake
Lukaku alitaka kurudi Chelsea lakini tatizo ni namba haina uhakika huku Costa suala lake liko hewani.mkuu huu usajili me naona km man wamepanick jamaa co mzuri kiivyo...angekuwa wamaana sn kipndi 2mekoma na morata chelsea wangeshambeba ! na km kwenye option huyu atakuwa alikuwa chagua la mwisho
Siyo utani na ana mashuti anapiga vichwa kubwa Mourhnio huwa hakosei kwenye usajili wa strikers na ndiyo maana katwaa mataji mengi sanaLukaku bonge la mchezaji....
Siyo utani na ana mashuti anapiga vichwa kubwa Mourhnio huwa hakosei kwenye usajili wa strikers na ndiyo maana katwaa mataji mengi sanaLukaku bonge la mchezaji....