Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,547
- 10,273
Subira muhimu ila hata ukisikia timu inafanya pilika pilika nayo inatia moyo
Tunamhitaji Fabinho, Nainggolan na Morata tufunge kazi khalafu tuone timu ipi itajitutumua
Ni kweli ila Matic simkubali sana tungepata kumbakumba Nainggolan lugha ingebadilika musimu ujao
Haka kachalii kanapenda bata sana..kataweza mziki wa ligi kuu kweli??
Kufahamu jitihada muhimu ili kesho wasipomsajili umtakaye ujue mbichi na mbivu zipiSubira muhimu ila hata ukisikia timu inafanya pilika pilika nayo inatia moyo
Kwa hiyo Matic ni zaidi yake?Naingollan wakawaida.
Kwa hiyo Matic ni zaidi yake?
SwadaktaKufahamu jitihada muhimu ili kesho wasipomsajili umtakaye ujue mbichi na mbivu zipi
Naingollan sio CDM na timu inaitaji CDM.
matic pia msimu huu ulioisha ametoa pasi za magoli 7, kwa comparison timu nzima ya man utd hakuna mchezaji hata mmoja mwenye pasi za magoli saba na herrera na martial pekee ndio wana pasi 6 za magoliNdio,kumbuka Matic kawa mhimili wa Chelsea kwenye makombe yote mawili waliochukua. Uyo Naingollan sijaona cha ziada kwake kwasababu ata timu ya taifa anawekwa benchi na Fellain.
msimu uliopita amechezaNaingollan ni Offensive midfielder, right???
matic pia msimu huu ulioisha ametoa pasi za magoli 7, kwa comparison timu nzima ya man utd hakuna mchezaji hata mmoja mwenye pasi za magoli saba na herrera na martial pekee ndio wana pasi 6 za magoli
https://www.whoscored.com/Teams/32/Show/England-Manchester-United
ukiwa na kiungo mkabaji anaeweza kusaidia kufunga namna hio ni neema. sababu watu kama kante, casemiro etc ni mizigo kwenye timu mchango wao kwenye kushambulia ni midogo sana.
msimu uliopita amecheza
-mechi 26 kama kiungo mshambuliaji
-mechi 16 kama kiungo wa kati
-mech 4 kama kiungo mkabaji
hivyo unaweza kusema ni kiungo mshambuliaji
https://www.whoscored.com/Players/52380/Show/Radja-Nainggolan
mkuu mimi sijui mipango ya mourinho ila nahisi anataka kiungo mkabaji abadili mfumo tucheze 4-3-3 badala ya huu wa sasa wa 4-2-3-1Ni kweli ila Matic simkubali sana tungepata kumbakumba Nainggolan lugha ingebadilika musimu ujao
nipo mkuu, sema sio sana. siku moja moja nakuja kulitembelea chamaNimeshtuka kukuona uku mkuu,uchambuzi mzuri sana.
nipo mkuu, sema sio sana. siku moja moja nakuja kulitembelea chama
Martial sina uhakika nionavyo hiyo ni nafasi ys Perisic Ivanmkuu mimi sijui mipango ya mourinho ila nahisi anataka kiungo mkabaji abadili mfumo tucheze 4-3-3 badala ya huu wa sasa wa 4-2-3-1
kwenye 4-3-3 matic atakuwa kiungo wa kati mkabaji, pogba atakuwa kiungo wa kati kushoto na herrera kiungo wa kati kulia mfumo huu ndio pia unatumika barcelona kwenye midfield three ya iniesta bosquet na rakitic
hapo pogba na Herrera watawapunguzia majukumu mkhitariyan na martial ili waweze kumsaidia morata jukumu la kufunga.
Ivan Perisic to Manchester United latest, crucial 24 hours, Serie A club’s FFP situation explained
By Tom Coast -
29th June 2017
Here we are, one day away from Inter’s deadline to avoid further sanctions from FFP, needing to make €30m, and the stance regarding Ivan Perisic’s transfer to Manchester United remains the same: €50m or nothing.
A potential move to Old Trafford for the Croatian forward has been one of the stories of the summer, kicking off big time when José Mourinho was spotted in Croatia, where he was said to be meeting the player’s agent.
However, before we delve into the actual Perisic situation, Gazzetta on Thursday have been kind enough to publish a little FFP guide to help everyone get their head around the situation.
The only guaranteed Inter sale right now is that of Ever Banega to Sevilla, which should bring Inter €9m.
After that, it gets a little bit confusing, but this is how we view it.
Inter want to sign Milan Skriniar from Sampdoria, which is likely going to cost them around €25m.
The plan here is to for Inter Milan to buy him by including Gianluca Caprari in the deal, who is valued around €12-13m.
What is likely to happen here is that Inter will mark Skriniar down as a €25m purchase for the 2017/18 season and the inclusion of Caprari will go down as a €13m sale for the 2016/17 season, with Inter not actually making any money, but on paper it shows they’ve gained €13m towards FFP.
This would then mean they need to make around €8m by Friday, with Genoa said to be interested in Jonathan Biabiany, Andrea Ranocchia and George Puscas, meaning one or two of those deals would see Inter over the line safe and sound.
Talk of a sponsorship of around €20m has gone rather quiet, and Gazzetta make it clear Inter’s best chance of meeting the demands is via sales.
Now, back to Ivan Perisic.
As mentioned above, Gazzetta explain the situation remains the same, with Manchester United needing to spend €50m by Friday or no sale.
After that, he isn’t on the market anymore and Luciano Spalletti will get to use him, even if the player would prefer the move to Old Trafford.
The only way a sale would then take place is if Inter receive an offer that blows them away, meaning well beyond €50m.
The Serie A side have already taken a few baby steps towards this plan, with Gazzetta reporting ‘informal talks’ about a new deal to keep him at the club until 2022, meaning a two-year extension on his current deal.
That’s where we stand at the moment, folks.
It all rests on whether or not Inter can get their sales done by tomorrow night.
If they can’t, Ed Woodward’s offer of somewhere between €30-40m is on the table, ready to be accepted